Daktari afafanua kuhusu ulaji wa supu ya pweza
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume, kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita, kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanamume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzisupu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata, korosho havisaidii urijari - Daktari
lekcha wahariri mbalimbali mjini Morogoro
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Dk Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake katika semina ya wahariri iliyofanyika mkoani Morogoro iliyojadili nafasi ya wanaume...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Pweza na mchuzi wake ni tiba?
Ulaji wa samaki aina ya pweza na unywaji wa supu yake umekuwa maarufu mno jijini Dar es Salaam
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona:Daktari mkuu wa aonya kuhusu uwezekano wa kusambaa zaidi kwa Covid-19 Marekani
The US's top infectious diseases doctor warns senators of the risks of reopening too soon.
11 years ago
Mwananchi14 Sep
Uzalendo wa supu hatari kwelikweli
Waliosema iga ufe hawajakosea. Eti kwa kuwa bangi ya kutibua inazidi kutibua licha ya kuonekana kwamba ni kazi ya kuchimba shimo ili kujaza shimo lingine, basi hata waishiwa wenzangu walidai kuwa na kikao kisichokoma wala kukomaa ilimradi supu inaendelea kutolewa.
9 years ago
Michuzi
pale mbuzi anapofia kwa muuza supu....

11 years ago
Vijimambo.jpg)
WADAU WAKUTWA NA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SWAHILI WAKIPATA SUPU
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Sep
H-baba afafanua siri ya Tanzanite
MSANII wa Bongo Fleva H-Baba, amesema anafarijika kumuita mwanae jina la Tanzanite, moja ya madini ya thamani yanayopatikana Tanzanzania pekee. Kwa mujibu wa H-Baba, mume wa muigizaji Frola Mvungi ambaye...
10 years ago
VijimamboMKOANI MARA KATIKA FAMILIA ZA KIKURYA, SHEREHE ZA KUCHINJA MBUZI KWA AJILI YA SUPU BADO ZINA THAMANI KUBWA.
Na:George GB PazzoKwa kabila la Wakurya sherehe ya kumchinjia mtu mbuzi kwa ajili ya supu huchukuliwa kama heshima kubwa miongoni mwa alieandaa sherehe hiyo na yule alieandaliwa sherehe ambapo ndugu, jamaa, marafiki na majirani hualikwa kwa ajili ya kushiriki pamoja katika sherehe hiyo.
Kutoka kushoto ni Professor Lyoyd Binagi (Manamba) James Binagi, Bi.Luise Binagi, Ghati Isanchu na wanandugu wengine wakiwa katika sherehe ya kifamilia iliyofanyika jana Septemba 24,2015 katika Kijiji cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania