Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


pale mbuzi anapofia kwa muuza supu....

Askari wa Usalama barabarani akiangalia namna gari yake ilivyoumia baada ya kugongana uso kwa uso na gari nyingine katika ajali iliyitokea mchana huu eneo la Tegeta jijini Dar.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MKOANI MARA KATIKA FAMILIA ZA KIKURYA, SHEREHE ZA KUCHINJA MBUZI KWA AJILI YA SUPU BADO ZINA THAMANI KUBWA.

Na:George GB PazzoKwa kabila la Wakurya sherehe ya kumchinjia mtu mbuzi kwa ajili ya supu huchukuliwa kama heshima kubwa miongoni mwa alieandaa sherehe hiyo na yule alieandaliwa sherehe ambapo ndugu, jamaa, marafiki na majirani hualikwa kwa ajili ya kushiriki pamoja katika sherehe hiyo.Kutoka kushoto ni Professor Lyoyd Binagi (Manamba) James Binagi, Bi.Luise Binagi, Ghati Isanchu na wanandugu wengine wakiwa katika sherehe ya kifamilia iliyofanyika jana Septemba 24,2015 katika Kijiji cha...

 

9 years ago

Bongo5

BASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi kumtwanga nyundo nyingine

Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye. Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa. Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa […]

 

9 years ago

Vijimambo

BASATA YADAI ADHABU KWA SHILOLE IPO PALE PALE, YASEMA INAKUSANYA USHAHIDI KUMTWANGA NYUNDO NYINGINE

Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye.
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili kuchukua...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE:TUTAAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya new Arusha jijini hapaviongizo wa chadema  akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla ya mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa  chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE:TUTAHAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya new Arusha jijini hapa.viongizo wa chadema akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza.Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea nawaandishi wahabari
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muuza magazeti ajinyonga kwa soksi

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la muuza magazeti Abel Damas, mkazi wa Kinondoni mtaa wa Togo kujinyonga kwa soksi. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

Bongo5

Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani! Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka zadii kutokana na unene. “Sina tofauti na Ray C […]

 

9 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego: Mpango wa kufanya filamu na Diamond upo pale pale

Nay wa Mitego amesema alikuwa na mpango wa kutengeneza filamu ya pamoja na Diamond – na kwamba bado hauhafa! Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kuharibika kwa mipango ya filamu ya Salam Zao, alipanga kufanya kitu kikubwa akiwa na Diamond. “Nilikuwa na idea ya kufanya movie kubwa na tuliwahi kukaa team yangu pia nakumbuka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani