Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani! Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka zadii kutokana na unene. “Sina tofauti na Ray C […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ray C wa kiuno bila mfupa abadilika

Mwanamuziki wa siku nyingi, Ray C ametangaza kuwa atatoka mwezi huu, lakini akiwajulisha mashabiki wake kuwa safari hii ataweka nguvu zaidi kwenye uimbaji badala ya unenguaji, ambao ulimpa umaarufu.

 

9 years ago

Bongo5

Ray C aurejesha mwili wake wa ‘kiuno bila mfupa’ baada ya kupungua kg 30 (Picha)

Ray C amefanikiwa kuurudisha mwili wake wa zamani ambao ulikuwa ni moja ya silaha zake awapo jukwaani, kutokana na wepesi wa kukizungusha kiuno chake kilichosababisha a.k.a ya ‘Kiuno bila mfupa’ kuanza kutumika. Jinsi Ray C alivyokuwa kabla ya kupungua Toka Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila aingie kwenye matatizo ya matumizi ya […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale

Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.


Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.


“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE:TUTAAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya new Arusha jijini hapaviongizo wa chadema  akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla ya mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa  chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE:TUTAHAKIKISHA KILA MWANANCHI AMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA LAKINI KWA UPANDE WA KATIBA MSIMAMO WETU KAMA UKAWA UKO PALE PALE WA KUTOSHIRIKI

Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akiwa anasoma utuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya new Arusha jijini hapa.viongizo wa chadema akiwemo mwenyekiti wakiwa wanasali kwanza kabla mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini kuanza.Naibu katibu mkuu wa Chadema Salum Mwalimu akiwa anaongea nawaandishi wahabari
MWENYEKITI wa chama cha demokrasi na maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...

 

9 years ago

Bongo5

Ray C akirejesha kiuno chake kisicho na mfupa? (Picha)

Huenda jitihada za Ray C kukirejesha kiuno chake kisichokuwa na mfupa zimeanza kuzaa matunda! Kwa muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akijaribu kuupunguza unene wake uliompoteza muonekano wake wa zamani uliompa sifa jukwaani na sasa picha zake mpya zinaonesha mafanikio. Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameshare picha zake mpya kuonesha hatua aliyofikia. […]

 

9 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego: Mpango wa kufanya filamu na Diamond upo pale pale

Nay wa Mitego amesema alikuwa na mpango wa kutengeneza filamu ya pamoja na Diamond – na kwamba bado hauhafa! Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kuharibika kwa mipango ya filamu ya Salam Zao, alipanga kufanya kitu kikubwa akiwa na Diamond. “Nilikuwa na idea ya kufanya movie kubwa na tuliwahi kukaa team yangu pia nakumbuka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani