Ray C akirejesha kiuno chake kisicho na mfupa? (Picha)
Huenda jitihada za Ray C kukirejesha kiuno chake kisichokuwa na mfupa zimeanza kuzaa matunda! Kwa muda mrefu muimbaji huyo amekuwa akijaribu kuupunguza unene wake uliompoteza muonekano wake wa zamani uliompa sifa jukwaani na sasa picha zake mpya zinaonesha mafanikio. Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameshare picha zake mpya kuonesha hatua aliyofikia. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Sep
Ray C aurejesha mwili wake wa ‘kiuno bila mfupa’ baada ya kupungua kg 30 (Picha)
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Ray C wa kiuno bila mfupa abadilika
10 years ago
Bongo526 Apr
Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Khloe Kardashian naye apiga picha ya utupu kwenye cover la kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ (18+)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNOp8pLSXdPzY8FYHHeYGmZIUCPcoWkEM9SCkpWd5sirAC3aV6LziPsinJDnixO6Wv-OteupBV8DqJPfopwXzhFD/Ray.jpg?width=650)
RAY ATESWA NA PICHA ZA UTUPU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpGyVTh3vAKkffMJtFe1G3-1PTKvijnRCVRXEh28MMuoIeFMbZP45Rk*2mQJykCXic-QPeiRZPllIBxAwxv0gKsG/RAY.jpg)
RAY ATUPIA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA CHUCHU
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Mfahamu mpiga picha maarufu Albert Manifester anayetumia kipaji chake kusaidia jamii
Albert Manifeter katika pozi..
Na Andrew Chale, modewjiblog
Duniani, kila mwanadamu amejariwa uwezo na kipawa cha kufanya kitu ambacho mwingine hawezi kukifanya kwa upande wake, iwe kwa kufundishwa ama kuzaliwa nacho, Hii pia tunaweza kuona kwa Mpiga picha maarufu nchini, Albert Manifester, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha kiasi cha kujenga jina lake katika ngazi mbalimbali ikiwemo ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo, kupitia kipaji chake hicho, albert Manifester, Mei 24 mwaka...
10 years ago
CloudsFM03 Dec
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Eti Chuchu Hancy Wa Ray Hutupia Picha Za Mvuto Zaidi Mitandaoni!!!
Mitandao ya kijamii imekua ni sehemu muhimu sana kwa watu mashuhuri na hasa kwenye upande wa burudani ,kuwafikia mashabiki na wapenzi wao kwa wingi zaidi ambao kwakiasi kikubwa ndio wanaowafanya wang’are . Kama ilivyo kwa kila mtu huko mitandaoni, mastaa anao wana uhuru wakuweka kile anachoona kinafaa kwake na kwa mashabiki wake.
Vile vile mashabiki wao wanaweza kuwa na maoni au mawazo mbalimbali juu ya mastaa wao. Leo tumekutana na shabiki na mpenzi wa filamu za hapa TZ na vilevile ni...