Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eti Chuchu Hancy Wa Ray Hutupia Picha Za Mvuto Zaidi Mitandaoni!!!

Mitandao ya kijamii  imekua  ni sehemu muhimu sana kwa watu mashuhuri na hasa kwenye upande wa  burudani ,kuwafikia mashabiki na wapenzi wao kwa wingi zaidi ambao kwakiasi kikubwa ndio wanaowafanya wang’are . Kama ilivyo kwa kila mtu huko mitandaoni, mastaa anao wana  uhuru wakuweka kile anachoona kinafaa kwake na kwa mashabiki wake.

Vile vile mashabiki wao wanaweza kuwa na maoni au mawazo mbalimbali juu ya mastaa wao. Leo tumekutana na shabiki  na mpenzi wa filamu za hapa TZ na vilevile ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAY ATUPIA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA CHUCHU

STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi 'Ray' akiwa katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Chuchu Hans. Picha hii Ray ameitupia katika akaunti yake ya Instagram leo na kuandika maneno yafuatayo "Wawili wakipendana adui hana nafasi"

 

10 years ago

Bongo Movies

HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka

Inasemekana penzi kati ya waigizaji  Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.

Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...

 

10 years ago

GPL

SWAUMU NI ZAIDI YA KUONESHA PICHA ZA USHUNGI MITANDAONI

KWENU mastaa wa kike ndani ya Bongo Movies. Nianze kwa kuwasalimia wote kwa ujumla, asalaam aleikum waungwana na poleni kwa swaumu. Binafsi niko poa, niko nanyi kiroho kuhakikisha swaumu inapanda hadi pale tutakapomaliza mfungo, ishallah Mungu awafanyie wepesi, muumalize mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani salama. Bila kuwataja majina, (najua mnajijua) nimewakumbuka leo kwa barua. Nina jambo ndugu zangu nataka kuzungumza katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Picha za mitandaoni kwa “wanajeshi” wetu twende mbele zaidi

SIKU chache zilizopita kupitia vyombo vya habari takribani vyote ikiwemo mitandao ya kijamii vilitawaliwa na tukio la kufukuzwa kazi kwa askari watatu wa Jeshi la Polisi wa Kikosi cha Usalama...

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU

Stori: Imelda Mtema
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu. Ray na Chuchu. Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau...

 

10 years ago

GPL

RAY: CHUCHU SI MPITA NJIA

Imelda Mtema
NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke. Nyota mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans . Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe...

 

11 years ago

GPL

CHUCHU ARINGISHIA PENZI LA RAY

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t-shirt iliyoandikwa; ‘Ray Kigosi’. Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans akiringisha chata la msanii Mwenzake, 'Ray'. Tukio hilo lilichukua nafasi wikiendi iliyopita kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

 

9 years ago

GPL

CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameamua kumfuata mchumba wake ambaye pia ni muigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akizungumza na Amani, Chuchu alisema kuwa kupitia Ukawa, ameamua kuingia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuanzia sasa atambulike kama mmoja wa wanachama wa chama hicho.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IiS1QZ ...

 

11 years ago

GPL

RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
Ni pigo kubwa! Ile ndoa inayodaiwa kukaribia kufungwa kati ya nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Miss Tanga 2006 aliye pia msanii wa filamu Bongo, Chuchu Hans imepingwa isifungwe mpaka mambo f’lani yakae  sawa. Ray na Chuchu wakijiachia.
Kwa mujibu wa mtonyaji wetu, Ray na Chuchu wako mbioni kufunga ndoa wakati wowote kuanzi Mei, mwaka huu, lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani