Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SWAUMU NI ZAIDI YA KUONESHA PICHA ZA USHUNGI MITANDAONI

KWENU mastaa wa kike ndani ya Bongo Movies. Nianze kwa kuwasalimia wote kwa ujumla, asalaam aleikum waungwana na poleni kwa swaumu. Binafsi niko poa, niko nanyi kiroho kuhakikisha swaumu inapanda hadi pale tutakapomaliza mfungo, ishallah Mungu awafanyie wepesi, muumalize mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani salama. Bila kuwataja majina, (najua mnajijua) nimewakumbuka leo kwa barua. Nina jambo ndugu zangu nataka kuzungumza katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Picha za mitandaoni kwa “wanajeshi” wetu twende mbele zaidi

SIKU chache zilizopita kupitia vyombo vya habari takribani vyote ikiwemo mitandao ya kijamii vilitawaliwa na tukio la kufukuzwa kazi kwa askari watatu wa Jeshi la Polisi wa Kikosi cha Usalama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Eti Chuchu Hancy Wa Ray Hutupia Picha Za Mvuto Zaidi Mitandaoni!!!

Mitandao ya kijamii  imekua  ni sehemu muhimu sana kwa watu mashuhuri na hasa kwenye upande wa  burudani ,kuwafikia mashabiki na wapenzi wao kwa wingi zaidi ambao kwakiasi kikubwa ndio wanaowafanya wang’are . Kama ilivyo kwa kila mtu huko mitandaoni, mastaa anao wana  uhuru wakuweka kile anachoona kinafaa kwake na kwa mashabiki wake.

Vile vile mashabiki wao wanaweza kuwa na maoni au mawazo mbalimbali juu ya mastaa wao. Leo tumekutana na shabiki  na mpenzi wa filamu za hapa TZ na vilevile ni...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA AUNT, WEMA, KADINDA ZATIBUA SWAUMU

OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga. Mastaa wa Bongo Muvi Aunt Ezekiel na Wema Sepetu. Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuachane na upuuzi wa picha za mitandaoni

NIMESHANGAZWA na kusikitishwa sana na habari iliyotanda kwa sasa nchini kuhusu picha za kipuuzi zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Picha hizo zimefikia hata kuliteka Bunge letu, wabunge wameharibu muda wa...

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA iPHONE 6 ZAVUJA MITANDAONI

Muonekano wa iPhone 6 itakapokuwa kwenye Apple Stores.  Ukubwa wa iPhone 6 utakavyokuwa.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Picha kabla ya corona zasambaa mitandaoni

Maelfu ya watu watumia mtandao kuweka picha zao walizopiga kabla ya janga la corona

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni

Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.

Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.

Lakini  yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...

 

9 years ago

Mtanzania

Linnah: Mpenzi wangu hataki picha za mitandaoni

linah...NA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga ‘Linnah’ amefafanua kwamba haweki picha za mpenzi wake kwenye kurasa zake za mitandaoni kwa kuwa mpenzi wake huyo hataki na si kwamba wameachana.

Linnah alieleza kwamba yeye na mpenzi wake huyo raia wa Uganda, Williams Bugeme, wamekubaliana waache utaratibu huo wa kuweka picha zao kwenye mitandao ya kijamii na si kwamba wameachana kama wengi wanavyodhani,

“Bado nipo na Williams, wengi wameshangaa kwa nini siku hizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ongezeko la picha za watoto mitandaoni siyo sahihi

Maendeleo ni matokeo ya jitihada na nguvu zilizotumika katika kuwekeza. Taifa haliwezi kupata maendeleo ya kweli mpaka pale thamani ya watoto wake inapowekwa wazi kwa kila raia. Mtoto ni rasilimali ambayo ikiandaliwa vyema taifa linaweza kufikia maendeleo na kuondokana na umasikini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani