Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linnah: Mpenzi wangu hataki picha za mitandaoni

linah...NA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga ‘Linnah’ amefafanua kwamba haweki picha za mpenzi wake kwenye kurasa zake za mitandaoni kwa kuwa mpenzi wake huyo hataki na si kwamba wameachana.

Linnah alieleza kwamba yeye na mpenzi wake huyo raia wa Uganda, Williams Bugeme, wamekubaliana waache utaratibu huo wa kuweka picha zao kwenye mitandao ya kijamii na si kwamba wameachana kama wengi wanavyodhani,

“Bado nipo na Williams, wengi wameshangaa kwa nini siku hizi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata

Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.

Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol aeleza kwanini hataki kuonekana na mpenzi wake kila wakati

Ben Pol amesema ataamua kutembea kila sehemu na mpenzi wake baada ya kuona anakaribia kufunga naye ndoa. Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa, kitu anachoogopa ni kuonekana mara kwa mara na mtu halafu siku chache watu wasikie wameachana. “Kusema ukweli nahisi bado,” amesema. “Unajua mpaka uanze kutembea na mtu kwenye public mpaka ujiridhishe vitu fulani fulani […]

 

11 years ago

GPL

KAJALA: PERFECT SIO MPENZI WANGU

Stori: Jamila Said na Emelder Tarimo Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

[Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli


Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuachane na upuuzi wa picha za mitandaoni

NIMESHANGAZWA na kusikitishwa sana na habari iliyotanda kwa sasa nchini kuhusu picha za kipuuzi zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Picha hizo zimefikia hata kuliteka Bunge letu, wabunge wameharibu muda wa...

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA iPHONE 6 ZAVUJA MITANDAONI

Muonekano wa iPhone 6 itakapokuwa kwenye Apple Stores.  Ukubwa wa iPhone 6 utakavyokuwa.…

 

10 years ago

GPL

JUX: KWELI JACK PATRICK NI MPENZI WANGU

Na Musa Mateja
MALOVEE! Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ‘Jux’, kwa mara ya kwanza amevunja ukimya na kufungukia penzi lake na modo anayedaiwa kufungwa nchini China kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma...

 

9 years ago

Bongo5

Wasichana wengi wanamtamani mpenzi wangu — Linah

Linah anaamini kuwa wasichana wengi wanamtamani mpenzi wake, Williams Bugeme aka Boss Mutoto. Linah ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anachojali yeye ni kuona mambo yake na mpenzi wake huyo kwenda sawa. “Kikubwa ni changamoto ambazo nakutana nazo, kwahiyo mimi namjali mwanaume wangu kwa sababu ana mwonekano mzuri na ni mwanaume kila mwanamke anatamani kuwa naye,” […]

 

10 years ago

Michuzi

JUMA NATURE - NAMUOA MPENZI WANGU WA ARUSHA AS SOON AS POSSIBLE

Mkongwe kwenye Muzuki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania Juma Khassim Kiroboto Maarufu kama Juma Nature @Sir_Nature amesema Kuwa Siku za Karibuni Zijazo atamuoa Mpenzi wake Ambaye anatokea Arusha.Akifanya Mahojiano na @DjHaazu wa @MamboJamboRadio Arusha Tanzania, Juma Nature amesema kuwa amekaa bila Mke wa ndoa kwa kipindi Kirefu sana tangua aachane na alikuwa Mkewe ambaye Alibahatika Kuzaa Mtoto mmoja na yeye aitwaye FURAHA na kwa sasa anaamini ni Muda Muafaka wakufikia Hatua Nyingine ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani