Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata
Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.
Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
CloudsFM30 Sep
10 years ago
Bongo509 Feb
Picha: Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kunani kwani?
10 years ago
CloudsFM13 Mar
SIRI ZA PICHA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZAVUJA
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
PICHA: Hivi Ndivyo Alivyoamka Leo Wema Sepetu
Mrembo na mwigizaji wa filamu wakike anaependawa na wengi hapa Bongo, Wema Sepetu kwa mara ya kwanza mwaka huu ametupia picha zake alizopigigwa na moja kati ya wapigapicha mahili hapa nchini ajulikanae kama Albert Manifester.
Mwanadada Wema kupitia ukurasa wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM, leo hasubuhi kabisa alizibandika picha hizo na kuwataja na kuwashukuru wote waliofanikisha picha hizo kuwa katika ubora mzuri kiasi hiki.
"I woke up like this..... Picture by son @albertmanifester...
9 years ago
Bongo Movies02 Nov
Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu Jana Usiku
Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.
Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.