CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA
![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BMl9*Jv7CjNUmagNWeblx0AQvRSPEnbH4v0pZzLFbN-YrVG8J0k4VwJTkB7JC9nI3-lvu6behrZZGDkgcbRDyb/JUMAMOSI.jpg)
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameamua kumfuata mchumba wake ambaye pia ni muigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akizungumza na Amani, Chuchu alisema kuwa kupitia Ukawa, ameamua kuingia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuanzia sasa atambulike kama mmoja wa wanachama wa chama hicho.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IiS1QZ ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcreM0c1gpUfwU*9fPZNSDp8jEe7K2VgKoF3-EGhGeUqn-mbVKjY6ZF*n2qfJYVD2zHLWAi9COROLFB4wrXpzx-d/chuhcu.jpg?width=650)
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWtmstI26KCL4R8O5*jDHcEuhNFcr7n2j9numlhuhdPSKq0s-VL8*iyYQ69DYqnbnbjEtXyxydgiLAIz64DpmI9/chuchu.jpg)
CHUCHU ARINGISHIA PENZI LA RAY
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Penzi la Ray, Chuchu… Chali
DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans linadaiwa kuanguka chali kufuatia mume wa mwanamke huyo kutua nchini kimyakimya na hivyo kuwa wigo wa wawili hao kukutana kama zamani.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu zaidi na Chuchu (jina lipo), ujio wa mwanaume huyo umemfanya Chuchu kuwa mbali na Ray hivyo penzi lao kuparaganyika.
“Yaani ngoma ilikuwa nzito. Ndiyo maana siku hizi Ray na Chuchu hawako beneti. Hata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSWpCIjID-HPfXosqfaP19qrp7WdR5jSsP1R4aRMBjk1sJ0KZG7kVi3Sko1k24Xdo2krKWb7dUAjKOA35E6R8Uk3*xpqocMX/7.jpg?width=650)
RAY: CHUCHU SI MPITA NJIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwF*00tFiC9*CcSUdJ1hOELA3fuHDuHPalNLBjxu2n8s-HmLrovTcwsBuhN5QkWgtaG9FcCiyIkWp2TxaA5exom/VincentKigosi5312.jpg?width=650)
RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6db7jayaCRoC2zGr2yLUjMhact411lVYXkFF8pObpn6XM8EpRbuVphY8eR*vz5n11j6u0Jq-gEKHNHp8tAJ90H84/ray.jpg?width=650)
RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiaVq52Px9WT2D76KnrYwGLkf6hsi5G-XKRuy6-Y4eAIVd0qqvAWHzhko5EpzwrZiBksUBjYu*NsZbN56ZQ*Yf9K/chuchu.jpg)
CHUCHU: HAPA RAY KAFIKA!