HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Hatimaye Chuchu Hans Afunguka Hukusu “Kuachana na Ray”
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Chuchu Hans hivi majuzi amekanusha madai ya kuwa ameachana na mpenzi wake Vicent Kigosi ‘Ray’ .Kwakueleza kuwa hakuna ukweli wowote juu ya hilo. Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake.
Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu alisema: “Kutakuwa na watu wanaosambaza uongo huo, huwezi kuamini muda si mrefu nilikuwa na baby...
11 years ago
GPLRAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
10 years ago
GPLCHUCHU HANS AFUNGUKIA KUACHANA NA RAY
11 years ago
GPLMAPENZI YA CHUCHU HANS, RAY NI YA NJIWA
9 years ago
Bongo Movies17 Sep
Chuchu Hans Aanika Siri ya Kumkoleza Ray
NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani.
Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambaye ni mwandani wa msanii mkongwe kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Vincent Kigosi `Ray’ aliyeweza kufunguka mambo mbalimbali kutokana na maswali aliyoulizwa na wasomaji wetu katika kolamu hii wiki iliyopita na kuyatolea ufafanuzi bila hiyana.
Msomaji:...
11 years ago
GPLJOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU HANS
10 years ago
GPLRAY, CHUCHU HANS WAONESHANA MAHABA HADHARANI!
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Chuchu Hans:Ninachojua mimi Johari hakuwahi kuwa mpezi wa Ray!!!
Mrembo na muigizaji wa filamu Chuchu Hans ameyameha hayo kwenye alipokuwa akiohijwa kwenye kipidi cha Take One kinachorushwa na kitucho cha televisheni cha Clouds TV.
“Ninachojua JOHARI hakuwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na RAY ila ni Partners in Business tofauti na watu wanavyofahamu"
Chuchu Hans alisisitiza kuwa bado yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’mbali na tetesi za zilizoenea kuwa wameteman.
Ray anadaiwa kuwa...
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Hapa na Pale: Chuchu Azirai Ndani ya Jeneza!
Chuchu Hans amejikuta akizirai ndani ya jeneza wakati akiigiza sini ya kifo kwenye filamu. Chuchu alikumbwa na hali hiyo hivi karibuni akiwa ‘lokesheni’ ya kuigizia filamu hiyo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam ambapo sanjari na yeye, msanii mwingine aliyecheza nafasi ya mwanakwaya naye alipoteza fahamu wakati kipande hicho kikirekodiwa.
Chanzo kimoja kutoka ndani ya kundi la wasanii waliokuwa wakiigiza filamu kililiambia Gazeti la Amani kuwa, Chuchu alikumbwa na hali hiyo...