Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WAKUTWA NA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SWAHILI WAKIPATA SUPU

Wadau wakijipatia supu kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Jumapili ya Oct 12, 20014 katika mgahawa wa Swahili uliopo Beltsville, Maryland nchini Marekani.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SAFARI WASHINGTON, DC.

 Wadau wakiwa DMV wakiwa ndani ya mgahawa wa Safari wakijipatia wakimalizia sikukuu ya krismasi na kuukaribisha mwaka kwa kujinafasi na menyu kwenye mgahawa huo uliopo mtaa wa Georgia jijini Washington, DC. Kushoto ni Mindi Kasiga akifuatiwa na Edward Taji na Tom wakipata ile roho inapenda ndani ya mgahawa wa Safari DC.

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera

Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia  surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;

Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SAFARI WASHINGTON, DC.

 Omby Nyongole akiwa na mama yake Mrs Nyongole walipokutwa na kamera ya Vijimambo ndani ya mgahawa wa Safari wenye chakula cha Bongo uliopo Washington, DC aiku ya Jumamosi Novemba 15, 2014 walipopitia kupa menyu ya chakula cha Kitanzania. MK akiwa na mwanae Nyangeta mara baada ya kupata chakula cha jioni ndani ya mgahwa wa Safari uliopo Washington, DC nchini Marekani. kutoka kushoto ni Mama Nyangeta, Rayson Jackson kutoka Houston, Texas na MK baba Nyangeta. Baba na mama Nyangeta. Simba...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

UKODAK WA WADAU WA VIJIMAMBO PANDE ZA MINNESOTA

Uongozi wa umoja wa akina mama wa kanisa la kiswahili Minnesota kwenye sherehe ya Valentine's ball iliyofanyika jumamosi tarehe 21 ndani ya ukumbi wa Event Center. Na katika sherehe hiyo mwenyekiti wa umoja wa akina mama Bi. Florence na mumewe Bwana Gracious Msuya walitunukiwa award ya utumishi bora.
Janeth, Penuel na Mr and Mrs Peter Mutua.

 

10 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS

 Kutoka kushoto ni Tom, Wolfgang, Kichai na Dj Luke wakiwa Afrika Fusion wakipata menyu ni kilaji kwenye July 4th weekend jijini Dallas, Texas. Ben Kazora akiwa na Dj Luke wakipata picha ya pamoja. Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma kama walivyokutwa na camera ya Vijimambo ambayo wiki hii ipo Dallas, Texas. Mdau wa Vijimambo akipata picha ya kumbukumbu
 Wadau wakiwa Africa Fusion wakipata ukodak ndani ya mgahawa huo.. Mdau kutoka California aakipata picha ya upendeleo. Wadau wa Dallas...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Uzalendo wa supu hatari kwelikweli

Waliosema iga ufe hawajakosea. Eti kwa kuwa bangi ya kutibua inazidi kutibua licha ya kuonekana kwamba ni kazi ya kuchimba shimo ili kujaza shimo lingine, basi hata waishiwa wenzangu walidai kuwa na kikao kisichokoma wala kukomaa ilimradi supu inaendelea kutolewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani