VIJIMAMBO: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera
Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;
Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Wolper Kanipora Demu Wangu-Farid Uwezo
Mwigizaji wa filamu , Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu ambaye pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’ aliyejulikana kwa jina moja la Vivian.
Chanzo cha habari hii kilisema kuwa, tangu Wolper awe karibu na Vivi, Farid amekuwa akiumia sana kwani amekuwa akikosa muda wa kujiachia naye.
“Yaani Wolper kampora Farid Vivi wake, sasa hivi jamaa ameamua kumuacha maana anaona mambo hayaendi sawa.
“Watu wanajiuliza, Wolper anampa nini Vivi? Ni ushosti wa kawaida...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-bWH5prUngz4/VDrlo3AjSSI/AAAAAAADJl8/VPA6jC_-Ows/s72-c/unnamed%2B(21).jpg)
WADAU WAKUTWA NA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SWAHILI WAKIPATA SUPU
![](http://4.bp.blogspot.com/-bWH5prUngz4/VDrlo3AjSSI/AAAAAAADJl8/VPA6jC_-Ows/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SAFARI WASHINGTON, DC.
10 years ago
Bongo Movies30 Jan
Party ya Amanda, Walishana Keki Kwa Mdomo!!
Mwigizaji wa filamu ,Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.
Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.
Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: “Ilikuwa ni siku muhimu sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-21XbOOzHDKOaKYyEZBAC4*cQQhxMQDgCEP4DoAy50*dsxKIKPaHW9ejpJWV*rF8rKWhSPuFy5h7w8haYKgTEq/34.jpg?width=650)
KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
SHIDA SALUM: Mwanaharakati, mwanasiasa aliyepigania keki kwa wengine
KATIKA Safu ya Mwanamama, nawaletea aliyekuwa mtetezi wa walemavu na mwanaharakati wa haki za binadamu Shida Salum. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Obama ahimiza Kamera kwa Polisi
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Kamera za kuzuia uhalifu zitumike kwa tija
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Tuimarishe matumizi ya kamera za CCTV kwa usalama wetu