Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Party ya Amanda, Walishana Keki Kwa Mdomo!!

Mwigizaji wa filamu ,Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.

Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.

Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: “Ilikuwa ni siku muhimu sana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PARTY YA AMANDA, FULL KUDENDEKA

Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara'.
Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC, polisi, wasimamizi walishana yamini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaagiza waratibu na wasimamizi wa uchaguzi pamoja na makamanda wa polisi kutenda haki wakati wa Uchaguzi Mkuu kwa kuwa usalama wa Taifa upo mikononi mwao na kuonya kuwa kosa lolote linaweza kuiingiza nchi matatizoni.

 

10 years ago

GPL

KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!

‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake.  Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa
Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao. TUJIUNGE NYUMBANI KWA MILLARD
Ishu hiyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Riyama Am-Surprise Farid Uwezo Kwa Keki ya Kamera

Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia  surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;

Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SHIDA SALUM: Mwanaharakati, mwanasiasa aliyepigania keki kwa wengine

KATIKA Safu ya Mwanamama, nawaletea aliyekuwa mtetezi wa walemavu na mwanaharakati wa haki za binadamu Shida Salum. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto...

 

11 years ago

GPL

MTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO

Stori: Makongoro Oging’ MASKINI Mungu wangu! Ndiyo maneno aliyoanza nayo kusema mama mzazi wa mtoto Salome Abdallah Said (3), kutokana na mwanaye huyo afya yake kuzidi kubadilika kufuatia kuumwa mara kwa mara licha ya kufanyiwa upasuaji mara mbili. Mtoto Salome Abdallah Said (3) akiwa na kovu tumboni baada ya upasuaji. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita mama wa mtoto huyo Veronica Laurent, mkazi wa Bunju B, jijini...

 

9 years ago

Global Publishers

Amanda atumika kwa utapeli

GLOBALTVONLINE14Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.

Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.

Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Abiria wagombana kwenye treni kwa kukohoa bila kufunika mdomo

Abiria wawili wamenaswa kwenye kanda ya video wakigombana baada ya mmoja wao kukohoa bila kufunika mdomo

 

10 years ago

GPL

DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO

Richard Konga, Arusha
DEREVA wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata mdomo Shabani Temba na kuondoka nao. Kijana Shabani Temba aliyepigwa na kung'twa na dereva wa bodaboda, Adinan Adam. Akizungumza kwa uchungu wakati akitoa maelezo katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Olorieni, Shabani alisema ameshangazwa kujikuta anapigwa kisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani