KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!
‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake. Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao. TUJIUNGE NYUMBANI KWA MILLARD Ishu hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!
Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.
Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.
Picha: Jokate akiwa...
10 years ago
GPLJOKATE:SIJAWAHI ‘BANJUKA’ NA MILLARD AYO!
10 years ago
GPLJOKATE AANIKA MAPENZI YAKE KWA JANUARI, ZITTO NA MILLARD
10 years ago
GPLMILLARD AYO ATEMBELEA GLOBAL JANA
11 years ago
GPLMILLARD AYO AWAPIGA CHINI MASTAA
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi28 Feb
Millard Ayo sasa ni zaidi ya mtangazaji redioni