Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!
Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.
Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.
Picha: Jokate akiwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!
10 years ago
GPL
JOKATE:SIJAWAHI ‘BANJUKA’ NA MILLARD AYO!
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Top 10 ya news kutoka kwenye YouTUBE ya Millard Ayo wiki hii
10. MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEITIWA MWIZI KINONDONI DSM. 9. DIWANI WA CHADEMA ALIYEKUBALI KASI YA MAGUFULI 8. KWANINI MR NICE ANAFANYA MUZIKI KWA NYODO 7. MLUGALUGA – MTANZANIA ALIYEWEZA KUIIGILIZIA SAUTI YA RAIS MAGUFULI 6. NAHREEL ‘ISIELEWEKE VIBAYA KUHUSU HIKI NILICHOSEMA KUHUSU DIAMOND‘ 5. WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOGEUZA GARI AKIELEKEA KAZINI 4: NI KWELI MWIMBAJI KIDUMU […]
The post Top 10 ya news kutoka kwenye YouTUBE ya Millard Ayo wiki hii appeared first on...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
MILLARD AYO ATEMBELEA GLOBAL JANA
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
MILLARD AYO AWAPIGA CHINI MASTAA