Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ernest Napoleon on air with Millard Ayo

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Audio: Chill na Sky – With Ernest Napoleon (Going Bongo)

10575965_514928895331026_2072635263_n

Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Mtanzania

Ernest Napoleon: Hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii

Ernest Napoleon Going BongoNA FESTO POLEA

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo...

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

9 years ago

Bongo5

Filamu za Bongo hazitakufa, mfumo utabadilika – Ernest Napoleon (Video)

11820519_180167015648391_1962079100_n

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amesema licha ya wasanii wa filamu Tanzania kuwa na wasiwasi kuwa kiwanda chao kinakufa, anaamini kitaendelea kuwepo na kitabadilika.

Amesema kile kinachoweza kufa ni mfumo wa filamu uliopo kwa sasa ambao anaamini unaenda kufikia kikomo.

“Bongo movie haitakufa sababu bado inatengeneza movie nyingi sana, bado ina mashabiki wengi sana, ina mastaa, ina watu wenye vipaji,” amesema.

“Kama biashara yoyote itafanya restructuring, watu wengine...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ernest Napoleon (Going Bongo) akutana na Forest Whitaker (The Last King of Scotland)

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amekutana na muigizaji wa Marekani, Forest Whitaker aliyeigiza kama Idi Amini kwenye filamu ya The Last King of Scotland jijini Amsterdam, Uholanzi. Whitaker na Napoleon “Forest Whitaker ni mtu ambaye nimekuwa nikimuangalia tokea utotoni. Bahati mbaya au nzuri pia amefanana sana na marehemu baba yangu. Ni idol […]

 

10 years ago

GPL

MILLARD AYO ATEMBELEA GLOBAL JANA

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo (mwenye kofia) akielezwa jambo na Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kushoto) alopotembelea Global Publishers jana. Aliyekaa ni msanifu kurasa, Shafii Hashim. Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kulia) akimfafanulia jambo na Millard Ayo (kushoto) na Saleh Ally (katikati).…

 

11 years ago

GPL

MILLARD AYO AWAPIGA CHINI MASTAA

Stori: MUSA MATEJA AMETISHA! Prizenta wa Clouds FM, kupitia kipindi chake cha Amplifaya, Millard Ayo amewapiga chini mastaa kibao baada ya kutwaa Tuzo ya Mtangazaji Anayependwa wa Redio na nyingine ya Kipindi cha Redio Kinachopendwa yaani Amplifaya katika Tuzo za Watu. Prizenta wa Clouds FM, kupitia kipindi chake cha Amplifaya, Millard Ayo (wa tatu kushoto) akiwa na tuzo pamoja na wenzake. Mpango mzima ulichukua nafasi usiku wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani