Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu za Bongo hazitakufa, mfumo utabadilika – Ernest Napoleon (Video)

11820519_180167015648391_1962079100_n

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amesema licha ya wasanii wa filamu Tanzania kuwa na wasiwasi kuwa kiwanda chao kinakufa, anaamini kitaendelea kuwepo na kitabadilika.

Amesema kile kinachoweza kufa ni mfumo wa filamu uliopo kwa sasa ambao anaamini unaenda kufikia kikomo.

“Bongo movie haitakufa sababu bado inatengeneza movie nyingi sana, bado ina mashabiki wengi sana, ina mastaa, ina watu wenye vipaji,” amesema.

“Kama biashara yoyote itafanya restructuring, watu wengine...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Chill na Sky – With Ernest Napoleon (Going Bongo)

10575965_514928895331026_2072635263_n

Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ernest Napoleon (Going Bongo) akutana na Forest Whitaker (The Last King of Scotland)

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amekutana na muigizaji wa Marekani, Forest Whitaker aliyeigiza kama Idi Amini kwenye filamu ya The Last King of Scotland jijini Amsterdam, Uholanzi. Whitaker na Napoleon “Forest Whitaker ni mtu ambaye nimekuwa nikimuangalia tokea utotoni. Bahati mbaya au nzuri pia amefanana sana na marehemu baba yangu. Ni idol […]

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Ernest Napoleon: Hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii

Ernest Napoleon Going BongoNA FESTO POLEA

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.

Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

“Huo ndio ukweli wala tusidanganyane, hatuwezi kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hakuna sheria za kuzuia uharamia huo...

 

10 years ago

Michuzi

Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenu

Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Going Bongo bit.ly/goingbongoitunes.Hivi sasa yupo kwenye mchakacho wa kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker inayoitwa “The Driver”. Ernest Napoleon akiwa na  Forest Steven Whitaker actor, producer, na directorwa filamu za kiMarekaniIli kufanikiwa kwenye filamu hiyo, alikuwa anahitaji kura za waTanzania na waKenya kwa ujumla ili kumfikisha Shindano hilo.Tunaomba msaada wenu wa ku...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mambo 3 Usiyoyajua kuhusu Ernest wa Going Bongo

11820519_180167015648391_1962079100_n

Haya ni mambo matatu Usiyoyajua kuhusu Ernest Napoleon wa filamu ya Going Bongo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon

Ernest Kuonyeshwa_4

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.

Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.

Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

“Tunajaribu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je mfumo wa maisha ya shule na vyuo utabadilika vipi kutokana na virusi Tanzania?

Nchini Tanzania, maelfu wa wanafunzi wa vyuo na wale wa sekondari wanaomaliza kidato cha sita hii leo wameanza rasmi masomo yao baada ya kuwepo katika likizo ya ghafla kwa muda wa miezi miwili iliyosababishwa na kutokea kwa janga la virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani