PARTY YA AMANDA, FULL KUDENDEKA
![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-95-3hJH88zkVzctPEvIkSsg1m-zxXq3CFwiXxhWgLARkVpaTk1nCFIrRrmwAFnf3zc54mgKeu0aMCgYujLwkn/IMG20150128WA0025.jpg?width=650)
Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara'. Na Hamida Hassan/Ijumaa Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCwmC1YUJpCwzySDZopLF8OJ*7JR5NSd3zsBBq0UAZbSYpidiuXxJYgnVN-AmfcbZkNJ83dKTEZs05Qh8-YzHOaf/Amanda.jpg?width=650)
AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
10 years ago
Bongo Movies30 Jan
Party ya Amanda, Walishana Keki Kwa Mdomo!!
Mwigizaji wa filamu ,Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.
Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.
Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: “Ilikuwa ni siku muhimu sana...
9 years ago
Bongo528 Sep
Full Moon Party ni Jumamosi hii Mbalamwezi, utaenda? Usipoenda haya ndio utakayoyakosa
11 years ago
Dewji Blog16 Apr
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine
Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]
The post Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene...
11 years ago
GPLMKUU WA MKOA AWAASA VIJANA KUACHA ‘KUDENDEKA’
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.
Tukio hilo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyTpIj2qJmOWtg7aT1Q6G5qJFyH-tdqPBQLU7AZslU6EJsoib6Wra53EaRvHkRnbGowgp6ikLolrsKSyIsHR2mj2/u67.jpg)
FULL MSISIMKO FULL MSISIMKO TAMASHA LA MATUMAINI 2014