Full Moon Party ni Jumamosi hii Mbalamwezi, utaenda? Usipoenda haya ndio utakayoyakosa
Beach Party ya kila mwezi ‘Full Moon’ imerejea tena mwezi huu kwa kishindo na mambo kibao. Kama kawaida inafanyika Mbalamwezi Beach maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kama ilivyokuwa mwezi uliopita, DJ wa kike na mrembo wa East Africa Radio, Sinyorita ataungana na DJ mkongwe PQ kuangusha burudani ya nguvu. Mwandaaji wa party hiyo, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oBy3_lAIuig/Uw9fw2RoP8I/AAAAAAAFQC8/kGkQ8sLWS8w/s72-c/WIndhoek-Draught-Black-Party+(2).jpg)
11 years ago
Dewji Blog16 Apr
5 years ago
Express.Co.Uk08 Mar
Full Moon 2020 UAE: What time is the Super Worm Moon? How to watch the Supermoon
5 years ago
Space.Com07 Apr
'Super Pink Moon' rises tonight! Teach your kids about the biggest full moon of 2020
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3OinPZO7Nrc/VaX-y9WsmLI/AAAAAAAHp0s/6PtvWMLCvWc/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
ALL WHITE PARTY YA WABONGO HOUSTON TX JUMAMOSI HII
![](http://3.bp.blogspot.com/-3OinPZO7Nrc/VaX-y9WsmLI/AAAAAAAHp0s/6PtvWMLCvWc/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
9 years ago
Bongo527 Nov
Instagram Party kufanyika Jumamosi hii, Escape One Mikocheni, Dar
![Ag_upG8RHDvxtgw049D3N_4KnhUuVGyYi-ODr2rgwrDk](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ag_upG8RHDvxtgw049D3N_4KnhUuVGyYi-ODr2rgwrDk-300x194.jpg)
KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika Jumamosi hii maeneo ya Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic ideaz, Fred Ngimba akifafanua jambo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari Ijumaa hii katika fukwe za Escape One kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya tamasha kubwa la burudani litakalofanyika jumamosi hii tarehe 28...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Y9kzZaCTVIQ/VC3vDZIc9NI/AAAAAAAAp0Q/eT_FHzcEFuQ/s72-c/10666280_304619959745459_704373199_n.jpg)
HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y9kzZaCTVIQ/VC3vDZIc9NI/AAAAAAAAp0Q/eT_FHzcEFuQ/s1600/10666280_304619959745459_704373199_n.jpg)
![diamond platnumz bongoclan.co.tz](http://www.bongoclan.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/diamond-platnumz-bongoclan.co_.tz_.jpg)
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote na...
5 years ago
Forbes09 Mar
How To Best View The First Supermoon Of 2020: The Full Worm Moon
5 years ago
The Independent06 Apr
Pink supermoon: How to watch the biggest and brightest full moon of 2020 this week