HII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y9kzZaCTVIQ/VC3vDZIc9NI/AAAAAAAAp0Q/eT_FHzcEFuQ/s72-c/10666280_304619959745459_704373199_n.jpg)
Jitiririshe mwenye hapa chini live bila chenga.
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--t-gdKXvwVA/Vb658kO-WPI/AAAAAAAD2HI/RdM4i0tDtAU/s72-c/11836923_880901541996703_2003646161340773006_n.jpg)
Hii ndio Historia na Asili ya Mji wa Tanga.???
![](http://4.bp.blogspot.com/--t-gdKXvwVA/Vb658kO-WPI/AAAAAAAD2HI/RdM4i0tDtAU/s640/11836923_880901541996703_2003646161340773006_n.jpg)
Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima.Neno hilohilo la Tanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo lina maana ya shamba, wao hulitamka N'tanga.
Tanga...
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Haya Ndio Aliyoyasema Diamond Kuhusu Hali ya Wema Kutoshika Mimba
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza kulifahamu kwa muda mrefu tatizo la aliyekuwa mpenzi wake , Wema Sepetu la kutoshika mimba.
Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.
Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.
Diamond alizungumzia pia lile andiko la Wema Sepetu mtandaoni ambapo alielezea tatizo
Akizungumzia andiko la Wema...
9 years ago
Bongo528 Sep
Full Moon Party ni Jumamosi hii Mbalamwezi, utaenda? Usipoenda haya ndio utakayoyakosa
10 years ago
Bongo Movies15 Sep
Hii ndio filamu ya Kibongo itakaayoneshwa kwenye jumba la cinema la Mlimani City kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu.
Kwa mara nyingine tena wapenzi wa bongo movies tunatapa fursa ya kwenda kuangalia moja ya kazi za kipekee na ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya filamu nchini. Kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam, basi tukutane pale kwenye jumba la cinema la mlimani city kuanzia tarehe 19 mpaka 25 mwezi huu kutazama filamu mpya na ya Kipekee Samaki mchangani. iliyotengenezwa na kampuni ya Kijiweni production chini ya usimamizi wa mtayarishaji Wlison Rumisha.
"Filamu hii inaanza na siku ya faraja kwa ajili ya...
11 years ago
Bongo Movies22 Jul
Hizi ndio salamu za birthday alizopata mwanadada kajala leo toka kwa mastaa mbalimbali
Leo hii mwanadada Kajala Masanja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ilivyo ada mastaa na watu mbalimbali wamepa salam za pongezi mwanadada huyo mrembo wa bongomovies. Hizi ni baadhi tu ya salamu chache tulizoweza kuzipata.
BATULI: Happy birthday bint wa Masanja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema, Born day yako imeangukia kwenye kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan, Ingawa ww c muislam ila support kwa vitendo ili uwe miongoni mwa wenye rehma za Mwenyezi Mungu,...