Hii ndio Historia na Asili ya Mji wa Tanga.???
Mji wa Tanga ni Mji Mkuu wa Mkoa wa Tanga uliopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi. Tanga ina bandari kubwa kabisa katika sehemu ya kaskazini mwa Tanzania. Njia ya reli kwenda Mji wa Moshi inaanza hapa.
Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima.Neno hilohilo la Tanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo lina maana ya shamba, wao hulitamka N'tanga.
Tanga...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHII NDIO HISTORIA YA DIAMOND TOKA KAZALIWA MPAKA LEO KAFIKISHA MIAKA 26, HAYA NDO ALIYOPITIA.
Ukitaka kujua kuwa ku-shine hapa Bongo ni juhudi zako tu mwenyewe za kupiga kazi usiku na mchana,bila kulala na mwisho wa siku kufikia malengo yako basi mfano wa kuigwa ni huyu Birthday boy Diamond Platnumz.Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam mnamo wa saa kumi na moja na kupewa jina la Nasibu Abdul Juma . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote na...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziAsili na historia ya neno la picha ya mnato ya "SELFIE"
Na Sultani Kipingo
wa Globu ya Jamii
Karibu kila mtu duniani leo hii analijua neon “Selfie” ambalo maana yake ni picha ya mnato ya kujipiga mwenyewe kwa kujielekeza Camera, lakini ni wachache wanaojua kwamba neno hilo lilianza kuvuma muda mwaka juzi tu, pale watunzi wa kamusi za Oxford walipoliweka kwenye kamusi zao na kulitaja kuwa ndilo neno la mwaka la 2013 na kulipa maana hiyo ya kujipiga picha mwenyewe na kutundikwa kwenye mitando ya kijamii.
Ingawa matumizi ya neno “Selfie” linaonekana...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)
Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]
The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75,000 huku 6000 pekee ndio wamesajiliwa
Msajili Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Mboni Zuwena Bakari, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akielezea kuhusu maendeleo ya tiba hiyo. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Tiba Asilia na Tiba Mbadala, Dk. Paulo Mhame na kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Catherine Sungura.
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Imeelezwa kuwa Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75000 ambaapo waliosajiliwa pekee...
10 years ago
VijimamboKINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA
Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano kata ya Tangamano wilaya ya Tanga mjini.
Wananchi wakiwa na bango lao kwenye mkutano wa hadhara wakati wa...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Rwanda yatwaa ubingwa Cecafa, waandika historia hii
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Timu ya taifa ya Uganda (The Cranes -Pichani) imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayohusisha timu za Afrika Mashariki na Kati baada ya kuifunga timu ya taifa ya Rwanda goli 1 kwa bila.
Katika mchezo huo ulionekana wa kushambuliana kwa zamu timu ya Uganda ilipata goli lake la ushindi kupitia kwa mchezaji wake Caecer Okhuti katika dakika ya 15 goli ambalo limedumu hadi dakika ya mwisho ya mchezo huo.
Baada ya ushindi huo Uganda imezidi kutamba...
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA TIBA ASILI KIMATAIFA KUFANYIKA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI HII
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia Novemba 16 hadi 23.
Maonyesho hayo ambayo yanafanyika nchini kwa mara ya kwanza yameandaliwa na Jukwaa la Tiba Asili Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Mamlaka ya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Mwenyekiti wa Kamati ya Manndalizi ya Maonyesho hayo, Boniventure Mwalongo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa...
10 years ago
GPLMWANAMUZIKI MTANZANIA MWENYE ASILI YA ITALIA KUTUMBUIZA HOTELI YA MEDITERRANEO JUMAMOSI HII JIJINI DAR