AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCwmC1YUJpCwzySDZopLF8OJ*7JR5NSd3zsBBq0UAZbSYpidiuXxJYgnVN-AmfcbZkNJ83dKTEZs05Qh8-YzHOaf/Amanda.jpg?width=650)
Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema mwaka uliopita wa 2014 ulikuwa mbaya sana kwake kwani aliandamwa na majanga yaliyotikisa maisha yake. Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Akizungumzia namna alivyoupkea mwaka wa 2015 Amanda alisema, kwanza anamshukuru Mungu kwa kuuona akiwa mzima lakini akamuomba amuepushe na mabalaa kwani uliopita haukuwa rafiki kwake....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4bTMsxy4ZivdVK*ak8VARkIPkZ9phQtKsb4Oe8VY41RFBYt0ioyeXMCdk2VOXcFeK5lzmbI4UtEPu1FwPYBd92/amanda.jpg?width=650)
AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2ISsDccxAbIEkhgATfdmTGZ5RwTJm0C9HU0CDvZm--wIgR2uppcXT6Z5ZekIWfgLB8jUCk2h7-LTtOGfEm3IqB3/snura.jpg?width=650)
SNURA: 2014 MAJANGA KWANGU
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Kevin Hart: Mwanzo ulikuwa mgumu kwangu
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Rais wangu Kikwete, Mwaka 2013 ulikuwa ni majanga!
RAIS wangu tunapoufungua mwaka 2014 na kuufunga mwaka 2013 tunapata fursa nyingine ya kujitafakari na kuyapima yote tuliyoyafanya kwa mwaka mzima uliopita. Tujiulize, ni kwa jema lipi tutakumbukwa au ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-95-3hJH88zkVzctPEvIkSsg1m-zxXq3CFwiXxhWgLARkVpaTk1nCFIrRrmwAFnf3zc54mgKeu0aMCgYujLwkn/IMG20150128WA0025.jpg?width=650)
PARTY YA AMANDA, FULL KUDENDEKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04atp0tIOODgrGbGaz1y5MgAqkRy7sdeD6COXOz1zJwhAbpRxSdBML61dhgdJoJXXpF-HGuvoyba*UK0FNqFH2jwm/mafu.jpg?width=650)
MAFURIKO DAR FULL MAJANGA
10 years ago
Mwananchi07 Dec
2014 ulikuwa mwaka wa ‘rangirangi’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxvd*nFL*bGfblIp66KmvNhTrEtxU1xJEX1V0y1pkv26TbhUM2Bm3P1F8W60t1KLzLNLZoU4XzzXr0qgBB9Nx3Ols/DUDE.jpg)
DUDE: MWAKA 2014 NI GUNDU KWANGU
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Dude: Mwaka 2014 Haukuwa wa Bahati Kwangu
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka, mwigizaji wa filamu , Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake.
Akipiga stori na GPL, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kufunga ndoa jambo ambalo linamuumiza kwani alitegemea kufanya mambo mengi lakini hakufanikisha.
“Nilitegemea kufunga ndoa lakini imeshindikana kwa sababu upande wa kazi...