SNURA: 2014 MAJANGA KWANGU
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2ISsDccxAbIEkhgATfdmTGZ5RwTJm0C9HU0CDvZm--wIgR2uppcXT6Z5ZekIWfgLB8jUCk2h7-LTtOGfEm3IqB3/snura.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan STAA wa majanga, Snura Mushi ameuanza mwaka 2014 vibaya kutokana na maradhi ya presha yanayomsumbua mara kwa mara. Snura Mushi. Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Snura alisema kuwa hajui ni kitu gani kinamsumbua lakini kila akienda kupima anaambiwa ni presha imepanda na vidonda vya tumbo. “Nimekuwa nikiumwa mara kwa mara na nikishikwa ni lazima niwekewe drip kwani naishiwa nguvu nakosa raha pia,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCwmC1YUJpCwzySDZopLF8OJ*7JR5NSd3zsBBq0UAZbSYpidiuXxJYgnVN-AmfcbZkNJ83dKTEZs05Qh8-YzHOaf/Amanda.jpg?width=650)
AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4bTMsxy4ZivdVK*ak8VARkIPkZ9phQtKsb4Oe8VY41RFBYt0ioyeXMCdk2VOXcFeK5lzmbI4UtEPu1FwPYBd92/amanda.jpg?width=650)
AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EOTIDBtECxJwCl17hIG0JiUZlEGqiO7UFRZopN2Q5L0QIPvn5ZQCRDyvd149CKKm49Kh3m0kVh*sDZzxiv1y0k/snura.jpg?width=650)
SNURA AANDAMWA NA MAJANGA
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Snura apeleka ‘Majanga’ Tarime
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi (pichani), anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la aina yake.
Akizungumza kutoka Tarime, Mkurugenzi wa Taasisi ya Nyumbani Kwanza Media Group, Mossy Magere alisema msanii huyo atafanya onyesho baada ya maandamano ya Jumapili ya kupinga ukatili wa kijinsia.
Snura alivuma zaidi na kibao chake cha Majanga anatarajiwa kuwasili Rorya leo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCiBW2SUEHmxHD2vow4jLNhtcTxW2bxjfDQCUUtRvlUDk-omUFRV5yTGQWUQ*HMnT-WA*P2iYWRYmVRDy0nf4wF3/snura1.jpg?width=650)
SNURA 'MAMAA MAJANGA' NA KUNDI LAKE WAKIFANYA MOMBO DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxvd*nFL*bGfblIp66KmvNhTrEtxU1xJEX1V0y1pkv26TbhUM2Bm3P1F8W60t1KLzLNLZoU4XzzXr0qgBB9Nx3Ols/DUDE.jpg)
DUDE: MWAKA 2014 NI GUNDU KWANGU
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Dude: Mwaka 2014 Haukuwa wa Bahati Kwangu
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka, mwigizaji wa filamu , Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake.
Akipiga stori na GPL, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kufunga ndoa jambo ambalo linamuumiza kwani alitegemea kufanya mambo mengi lakini hakufanikisha.
“Nilitegemea kufunga ndoa lakini imeshindikana kwa sababu upande wa kazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7Lt90AnTkqZu93yJwmTB21GnVxDhS03fQJjIMeSLvJOFuayMWlzt*2*zHN-K7UeamF1SEoobrsg2qDMslUf0oZxc/BACK.jpg)
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014 MBONA MAJANGA