Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Snura apeleka ‘Majanga’ Tarime

snura234

Na Mwandishi wetu

Mwanamuziki mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi (pichani), anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la aina yake.

Akizungumza kutoka Tarime, Mkurugenzi wa Taasisi ya Nyumbani Kwanza Media Group, Mossy Magere alisema msanii huyo atafanya onyesho baada ya maandamano ya Jumapili ya kupinga ukatili wa kijinsia.

Snura alivuma zaidi na kibao chake cha Majanga anatarajiwa kuwasili Rorya leo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SNURA AANDAMWA NA MAJANGA

BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku mdogo wake akipata ajali. Akizungumza kwa huzuni, Snura alisema mwaka huu umekuwa wa majanga kwake kwani babu yake huyo alimlea na kushika nafasi ya baba yake tangu alipozaliwa hadi kufikia utu uzima. “Ukweli nimeumia sana na mwaka huu...

 

11 years ago

GPL

SNURA: 2014 MAJANGA KWANGU

Stori: Hamida Hassan
STAA wa majanga, Snura Mushi ameuanza mwaka 2014 vibaya kutokana na maradhi ya presha yanayomsumbua mara kwa mara. Snura Mushi. Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Snura alisema kuwa hajui ni kitu gani kinamsumbua lakini kila akienda kupima anaambiwa ni presha imepanda na vidonda vya tumbo. “Nimekuwa nikiumwa mara kwa mara na nikishikwa ni lazima niwekewe drip kwani naishiwa nguvu nakosa raha pia,...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II

Mwangalie na kumsikiliza msanii mahiri anayefanya vizuri katika muziki nchini Tanzania, Snura Mushi 'Mamaa Majanga' alipolonga na Global TV Online kupitia kipindi chake pendwa cha Mtu Kati. Ungana…

 

11 years ago

GPL

SNURA 'MAMAA MAJANGA' NA KUNDI LAKE WAKIFANYA MOMBO DAR LIVE USIKU HUU

Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magigita apeleka tuzo sokoni

MKURUGENZI wa Equality For Growth (Efg), Jane Magigita, ambaye alipata tuzo ya heshima ya Dk. Martin Luther hivi karibuni inayotolewa na Ubalozi wa Marekani, ameipeleka tuzo hiyo kwa wanawake wanaofanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mo arejea kiaina, apeleka neema

Mdau mkubwa wa Simba na ambaye amewahi kuwa mdhamini wa klabu hiyo miaka ya nyuma, Mohamed Dewji ‘Mo’ yupo kwenye mpango wa kurudi na kuidhamini klabu hiyo na tayari ametuma picha za jezi mpya za Simba kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND APELEKA TUZO ZA CHANNEL O KWA JK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na staa  wa Bongo  Fleva, Nasibu Abdul  ' Diamond Platnumz ' baada ya kumtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi apeleka simu 102 mahakamani

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepokea simu 102 kutoka kwa shahidi wa nne katika kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, kama kielelezo cha mashitaka kwa washitakiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-Un apeleka poda jeshini

Kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-Un ameonesha namna anavyojali masuala ya kijinsia kwa kuwapa askari poda za kujipodolea .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani