SNURA AANDAMWA NA MAJANGA
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EOTIDBtECxJwCl17hIG0JiUZlEGqiO7UFRZopN2Q5L0QIPvn5ZQCRDyvd149CKKm49Kh3m0kVh*sDZzxiv1y0k/snura.jpg?width=650)
BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku mdogo wake akipata ajali. Akizungumza kwa huzuni, Snura alisema mwaka huu umekuwa wa majanga kwake kwani babu yake huyo alimlea na kushika nafasi ya baba yake tangu alipozaliwa hadi kufikia utu uzima. “Ukweli nimeumia sana na mwaka huu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Snura apeleka ‘Majanga’ Tarime
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi (pichani), anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la aina yake.
Akizungumza kutoka Tarime, Mkurugenzi wa Taasisi ya Nyumbani Kwanza Media Group, Mossy Magere alisema msanii huyo atafanya onyesho baada ya maandamano ya Jumapili ya kupinga ukatili wa kijinsia.
Snura alivuma zaidi na kibao chake cha Majanga anatarajiwa kuwasili Rorya leo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2ISsDccxAbIEkhgATfdmTGZ5RwTJm0C9HU0CDvZm--wIgR2uppcXT6Z5ZekIWfgLB8jUCk2h7-LTtOGfEm3IqB3/snura.jpg?width=650)
SNURA: 2014 MAJANGA KWANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCiBW2SUEHmxHD2vow4jLNhtcTxW2bxjfDQCUUtRvlUDk-omUFRV5yTGQWUQ*HMnT-WA*P2iYWRYmVRDy0nf4wF3/snura1.jpg?width=650)
SNURA 'MAMAA MAJANGA' NA KUNDI LAKE WAKIFANYA MOMBO DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aNZ9EZ3f4*wxTA1NTemKTFYGsqoDyIFW*ypMtneYjO-a9PJjeUzksoMFNg4A6UJyKDEbD9qfyyaLRSAmBRTEhxjhqrw7VI-h/gerardbutlermelgibsonbromancecontinues04.jpg?width=650)
MEL GIBSON AANDAMWA KUTOKA NA KIBINTI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JmmD6*QKY7HlFHl12AFhvemiBNb9WmIm9cCZ1lipxfDgBzxtXUsLPHfEQZA6DPxKX*IeNUo-a5F4jFumt2rAMK2/snura.jpg?width=650)
SNURA AMBWATUKIA SHILOLE
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Snura:Sitaki Unafiki
MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.
“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...
10 years ago
Bongo Movies08 May
Matapeli Wamlostisha Snura
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.
“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...
10 years ago
CloudsFM08 Jan
SNURA KURUDI UPYA
Msanii wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movie,Snura Mushi(Snu Sex) baada ya kuachia ngoma yake ya pili ya ‘’Ushaharibu’’na kukaa kimya kwa muda mrefu ametangaza kurudi upya mwezi wa pili mwaka huu.
Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo,HK alisema kuwa Snura ataachia projects zake mwezi wa pili mwaka huu, baada ya kutoonekana kwenye majukwaa kwa karibu miezi sita.