Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SNURA KURUDI UPYA

Msanii wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movie,Snura Mushi(Snu Sex) baada ya kuachia ngoma yake ya pili ya ‘’Ushaharibu’’na kukaa kimya kwa muda mrefu ametangaza kurudi upya mwezi wa pili mwaka huu.Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo,HK alisema kuwa Snura ataachia projects zake mwezi wa pili mwaka huu, baada ya kutoonekana kwenye majukwaa kwa karibu miezi sita.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO WA SNURA LIVE!

Hamida Hassan na Gladness Mallya
BAADA ya kuficha kwa muda mrefu huku akikanusha kujifungua, hatimaye staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’ ameamua kumwanika ‘live’ mwanaye aliyejifungua hivi karibuni na kutoa sababu kuu ya kufanya hivyo. Staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’akiwa na mwanaye. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

SNURA AANDAMWA NA MAJANGA

BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku mdogo wake akipata ajali. Akizungumza kwa huzuni, Snura alisema mwaka huu umekuwa wa majanga kwake kwani babu yake huyo alimlea na kushika nafasi ya baba yake tangu alipozaliwa hadi kufikia utu uzima. “Ukweli nimeumia sana na mwaka huu...

 

11 years ago

GPL

SNURA AMBWATUKIA SHILOLE

Na Brighton Masalu
MAMA wa majanga, Snura Antony Mushi kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kuzungumzia kauli ya  msanii mwenzake wa muziki wa mduara, Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole’ juu yake kuwa ameisha kimuziki ndiyo maana ameamua kukimbilia muziki wa Taarab. Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Snura ambaye anawika mitaani kwa ngoma kali kama Majanga na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura Aingizwa Mjini

Staa alieanzia Bongo Movie na kuingia kwenye Bongo Fleva Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa yeye kwenda kwa mtu mwingine ambaye hata hamjui wala hana mahusiano naye na hajui alitumia njia gani kuiteka hajui.

“Hata sielewi mtu huyu kafanyeje hadi namba yangu kuitumia yeye, na mbaya zaidi ni pale ambapo kilaanapobahatisha namba ya rafiki yangu huomba atumiwe pesa nahisi lengo lake kuu ilikuwa ni kujipatia pesa kwa...

 

11 years ago

GPL

SNURA AWASHUKURU WALIOMTOA

Snura Mushi. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Snura mushi alimua kufunguka yafuatao kwa mdada Wema Sepetu, Tundaman, Chekibudi na Marehemu Sharo Milionea kwa jinsi walivumsaidia kufika hapo alipo leo. Snura alisema yafuatayo… Kwa Wema Sepetu
Msema kweli mpenzi wa mungu wakati narecod wimbo wangu wa kwanza wema alihusika sana...hela yake ilihusika studio, sauti yake ilihusika kwenye wimbo huo...

 

11 years ago

GPL

SNURA TUHUMA NZITO

Stori:  Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka kutoka. Snura Mushi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Snura ameingia mitini na kiasi cha Tsh. 400,000 za prodyuza huyo na kwamba sasa amehamia studio nyingine. Risasi...

 

10 years ago

GPL

SNURA ATUMIKA KUTAPELI

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea  ambapo hivi karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Snura — Jidabue

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Mama wa Majanga Snura sasa ameachia wimbo unaitwa “Jidabue” Studio Chaidaz Records

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani