MTOTO WA SNURA LIVE!
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3Kdcn9ECiCmbujJgNPolfaaYYUUxwKSj4wZx3Bi8ojPhX76E4h-8AS4imLD*fSQwnthYKfyXLLmTMJ5acq79Rco/f.jpg)
Hamida Hassan na Gladness Mallya BAADA ya kuficha kwa muda mrefu huku akikanusha kujifungua, hatimaye staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’ ameamua kumwanika ‘live’ mwanaye aliyejifungua hivi karibuni na kutoa sababu kuu ya kufanya hivyo. Staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’akiwa na mwanaye. Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj21Akal30yzh4YKEVchrJ8Ut7O8jxn4A5N5ePBSC3pXz7IK4SmcWgerFU0gzw1GoGG38Mra6vXLLWK03aID9kOi/SNURA.gif?width=650)
SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE
11 years ago
GPL01 Jan
SNURA AWAPAGAWISHA MASHABIKI KWA MAUNO DAR LIVE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KvYuXOPX8Nw/U3Us5RF4NYI/AAAAAAAFh_Y/cOhloDMZbQA/s72-c/unnamed+(100).jpg)
Miss Uni College Temeke Jumamosi Dar Live, Snura kuliteka jukwaa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEeTvJLE1hiL1F2X6MJwUo9K0sPyqvuv7R4tVhBU0pWK0iQRFn641QlrSLBidysTUYqsGmxAVQxCosXPq4psUleEMl0HKiP0/SAYONATWISTSHOODARLIVE11.jpg?width=650)
NATURE, MZEE YUSUF, TUNDA MAN, KHADIJA KOPA, SNURA, KR, BAMBO WAWASHA MOTO SHOO YA SAYONA DAR LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTIShNY2EfZnmAh9O3HzkENcbWXiuO5vxkyUwLMa6Q5*056Y2nr91E0agIDtXrr1XH-vJbgPV0a3j1eoEuI9K3q/KomaaCon.jpg?width=600)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCiBW2SUEHmxHD2vow4jLNhtcTxW2bxjfDQCUUtRvlUDk-omUFRV5yTGQWUQ*HMnT-WA*P2iYWRYmVRDy0nf4wF3/snura1.jpg?width=650)
SNURA 'MAMAA MAJANGA' NA KUNDI LAKE WAKIFANYA MOMBO DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
GPLLIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Snura Aingizwa Mjini
Staa alieanzia Bongo Movie na kuingia kwenye Bongo Fleva Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa yeye kwenda kwa mtu mwingine ambaye hata hamjui wala hana mahusiano naye na hajui alitumia njia gani kuiteka hajui.
“Hata sielewi mtu huyu kafanyeje hadi namba yangu kuitumia yeye, na mbaya zaidi ni pale ambapo kilaanapobahatisha namba ya rafiki yangu huomba atumiwe pesa nahisi lengo lake kuu ilikuwa ni kujipatia pesa kwa...