Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE

Stori: GLADNESS MALLYA KWA mara ya kwanza msanii wa muziki nafi lamu Bongo,Snura Mushi amemwanika baba wa mtoto wake na  kusema ndiye mumewe mtarajiwa wa kufa na kuzikana. Pichani ni msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi pamoja na baba "Hunter" wa mtoto wake wa kike.
Akipiga stori na Ijumaa, Snura alisema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na ugomvi mkubwa waliokuwa nao yeye na mwanaume wake huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Baba atuhumiwa kulawiti mtoto wake

Mtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.

 

10 years ago

Habarileo

Baba aomba msaada mtoto wake atibiwe

PAULO Msangawale anayesoma Shule ya Msingi Katusa, Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameshindwa kuendelea na masomo baada ya kupata ulemavu wa kudumu na sasa anaomba msaada wa matibabu zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari

Mkazi wa Kijiji cha Imwelo, Kata ya Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake, Pole Faida (26) kwa kushirikiana na kaka yake.

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

10 years ago

GPL

NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!

Stori: Gladness Mallya
Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na kukiri kwamba ni wa kwake. Mtoto wa staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie. Akizungumza na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nani Huyu Anayemtibulia Uwoya kwa Baba Mtoto Wake?!, Soma Alichokieleza

UBUYU: Irene Uwoya amefunguka haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram

Kuwa juu sio lazima utumie migongo ya watu,mwanamke kujiamin afu mmbwa hawanisumbui kabisa ila fanya yote acha kumtumia msg za uwongo mme wangu ata kama tumetengana tuna mtoto!sooo plzzz kaa mbali na mim ,mim sijazoea uswahili na bishana na pesa sio maneno!ila narudia tena acha kumtumia mme wangu msg za kiseee kama mnatakana fanyeni bila kunitaja tena hamtaona naongea!nazan umenielewa vzuri sina haja...

 

9 years ago

MillardAyo

Umeipata ya baba kuoa mpenzi wa mtoto wake? Imedakwa na ‘Hekaheka’ ya leo.. (+Audio)

Team nzima ya Leo Tena huwa inasogeza matukio mbalimbali ambayo yanatokea kwenye maisha ya mtaani ya kila siku kupitia ‘Hekaheka‘.. kona ya Hekaheka imekuja na stori ya kijana mmoja kutoka Moshi ambapo kijana huyo amekuta baba yake ameoa mchumba wake !! Jamaa huyo anasimulia kwamba alimtambulisha mpenzi wake kwa ndugu zake pamoja na baba yake, […]

The post Umeipata ya baba kuoa mpenzi wa mtoto wake? Imedakwa na ‘Hekaheka’ ya leo.. (+Audio) appeared first on...

 

11 years ago

GPL

LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE


Stori: Paparazi Wetu
BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo. Estelina Sanga ‘Linah’ katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Nagari Kombo. Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: “Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya...

 

10 years ago

GPL

Y-TONY AMWANIKA DEMU WAKE

Stori: Musa Mateja MBONGO Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ amevunja ukimya kwa kumwanika mpenzi wake wa ‘long time’, Asia Msemo. Mbongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Masebene, Elly Michel Kilema ‘Y-Tony’ akiwa na bebi wake wa ‘long time’, Asia Msemo. Tukio hilo la kumwanika kimwana wake alilifanya juzikati baada ya kutua ndani ya Ofisi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani