LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvFJNhjXkHfuQe8X7blfl6KXYcFwZuQqhw0QjaqNZKL6W7XmtEctPzSPJNd-yq0BZkXqgK-2JktloneXq0ZrDcU3/linah.jpg?width=650)
Stori: Paparazi Wetu BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo. Estelina Sanga ‘Linah’ katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Nagari Kombo. Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: “Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zjDlLXjv8v4wrupAY8RbFGfgWp0Ws7lPRL6sFY19JaKQhQgNLaNir2C1uf2EUF3DsUucPiYAOCh2UUR0dCYB4l/johari.jpg)
JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0Tmn-4klhF4Xg*9JI3dYBTRavJt93SRsOMMXgCCtryJv3BtTQbcQjiwuaRa0RwLospKBQ9wv2ybsaf5Jorg0q7rFX/yton.jpg?width=650)
Y-TONY AMWANIKA DEMU WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JneXU7BcIoBVL4k-YRIzag--OORopszfs-aIh6UueBHGSvzajSFynE1MX05Q74zeh*zp-5f5D7CjAovJRliOrid/miss.jpg?width=650)
MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Jini kabula amwanika wa ubani wake
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.
Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.
“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj21Akal30yzh4YKEVchrJ8Ut7O8jxn4A5N5ePBSC3pXz7IK4SmcWgerFU0gzw1GoGG38Mra6vXLLWK03aID9kOi/SNURA.gif?width=650)
SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE
10 years ago
CloudsFM02 Jul
Linah Afunguka Tattoo Ya Mpenzi Wake
![Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga 'Linah' akiwa na William Bugeme 'Boss Mtoto'](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/linah.png)
Mwanamuziki nchini Tanzania Asterlinah Sanga ‘Linah’ akiwa na William Bugeme ‘Boss Mtoto’
Mwanamuziki nchini Tanzania, Asterlina Sanga ‘Linah’ amekiri mpenzi wake wa sasa William Bugeme ‘Boss mtoto’ kujichora tattoo yenye jina lake ikiwa ni muda mfupi umepita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wao.
Amedai kuwa kwa mara ya kwanza yeye na boss mtoto walikutana kwenye mgahawa wa News Cafe na kubadilishana namba za simu ikiwa sasa ni mwezi mmoja umepita tangu waanzishe penzi hilo jipya.
![William Bugema 'Boss Mtoto' akichorwa tattoo](https://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Linah-Wangu.jpg)
William...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jxGOXV18_ag/Uy2dDGiodxI/AAAAAAAFVnM/DZQ1smKCYtA/s72-c/Dn_Parliament_2803.JPG.jpg)
bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena
![](http://1.bp.blogspot.com/-jxGOXV18_ag/Uy2dDGiodxI/AAAAAAAFVnM/DZQ1smKCYtA/s1600/Dn_Parliament_2803.JPG.jpg)
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari