bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena
Bunge nchini Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.
Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita, hata hivyo ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema za watoto, hasa wasichana. Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Jan
Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari
10 years ago
Mwananchi01 Mar
MZEE YUSUPH: Nasikia raha kuwa na wake wengi
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi
11 years ago
Habarileo08 Jun
Bunge laridhia Azimio la SADC
WATANZANIA wengi wataweza kufanya biashara na kuwekeza katika nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia sasa.
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Bunge laridhia Serikali kufuta deni
9 years ago
Bongo514 Sep
Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena
10 years ago
GPLAMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI