Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE YUSUPH: Nasikia raha kuwa na wake wengi

>Unafahamu kama Mzee Yusuph anasikia raha kuwa na wake wengi, huku akihakikisha anawatimizia wote mahitaji yao? Fuatana nami ufahamu mengi zaidi kuhusiana na suala la ndoa kwa nguli huyo wa muziki wa taarabu hasa wenye vionjo vya mahaba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Leyla ajigamba kuwa na ‘nywila’ ya mtima wa Mzee Yusuph

Ana sura ya kuvutia, macho maangavu yanayovutia kumtizama, anazungumza taratibu lakini maneno yenye akili. Huyo ni Leyla Rashid mke halali wa mkurugenzi wa kundi la muziki wa miondoko yo taarabu la Jahazi Modern, Mzee Yusuph aliyebainisha kuwa licha ya mumewe kuwa na mashabiki wengi wa kike hana analopoteza kutoka kwake

 

10 years ago

CloudsFM

Mzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni

Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.

Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila kitu kitakuwa hadharani.

Hivi karibuni wake zake wawili ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji...

 

10 years ago

GPL

JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI

Stori: Hamida Hassan
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka  kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote. Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

10 years ago

Mtanzania

Kunani Mzee Yusuph na Khadija Kopa?

Mzee Yusuf new.jpg 2khadija kopaNA THERESIA GASPER

MANENO ya kujitamba aliyokuwa akiyatoa mwimbaji wa taarabu, Mzee Yusuph kila mara alipokwenda kupokea tuzo usiku wa juzi, yamewapa wasiwasi wadau wa muziki huo wakihoji kwanini ameonyesha kuwadharau baadhi ya waimbaji wenzake wa muziki huo.

Mwimbaji anayedaiwa kuelekezewa maneno hayo ni mkongwe wa siku nyingi, Khadija Kopa ambaye alishadai kwamba aliwahi kuonyesha njia ya kutaka kushirikiana na mwenzake huyo lakini ameonekana kumkwepa bila sababu za msingi.

Wakati Mzee...

 

11 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo siri yangu-Mzee Yusuph

Mwanamuziki wa miondoko ya taarabu Mzee Yusuph ametaja siri ya mafanikio yake kuwa ni pamoja na kusoma alama za nyakati huku akifuata na wanachotaka mashabiki wake.

 

11 years ago

Michuzi

bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena

Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.

Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita, hata hivyo ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana.

Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya...

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"

Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited, Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampun ya Proin Promotions Limited, Evans Stephen.Mzee Yusuph akibadilishana Mkataba na Mwanasheria wa Kampuni ya Proin Promotions Limited Halima Mara baada ya Kumaliza kutiliana saini katika Mikataba. Na Josephat Lukaza -...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani