JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI
![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zazyaamfpRRFNg9AW1hTVJPOCLE9Jrb2NN5cPBrX3*pBfA3tjAId7ZAk8nFiMZ0c02bNZ3C8-gDU5rxMcxGHixU/jokate.gif?width=650)
Stori: Hamida Hassan Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote. Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Mar
MZEE YUSUPH: Nasikia raha kuwa na wake wengi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSrTMqqWFwD7OQvfoBQRXCyECJ5LJf6JDAkHp*b64gOVyrAYXxTRjIdLM8bd6Vkd2jqfBaY3O9tO1cqrZR5BPp-2/kajala.jpg)
POCHI LAMUOKOA KAJALA KUKAA NUSU UTUPU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwneAylBkN0tNAbD22aEX-SuNL2ersUxWwXU1YfQGJ3RTCNRDPQlZymPvgqO3eITruw3vsqdS1nFlzeDWo02LoIN/JOKATE1.jpg?width=650)
JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/t6GaNRW7Af8/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Nasikia mtakutana tena tcd, salamu na sala yangu kwenu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
SHILOLE LIVE CHUMBANI
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.