SHILOLE LIVE CHUMBANI
![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
Stori: Gladness Mallya KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake. Staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Shilole, picha hizo walijipiga...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Shilole Ampigisha Dj Tass ‘Sorry For That’ Mia Kidogo, Mitusi Live !
MWIGIZAJI na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemzingua Dj Tass mtangazaji wa kipindi cha Kwetu Fleva baada ya kushusha matusi hewani akihojiwa na mtangazaji huyo na kumfanya aombe msamaha kwa wasikilizaji kwa kutamka Sorry for That mara mia.
Tass alikatiza matangazo baada ya Shilole kuulizwa swali kuhusu mpenzi wake Shilole ambaye ametangaza kutengena naye hivi karibuni Mziwanda ambaye alitamba naye kwa muda mrefu na hata msanii huyu wa kiume kujichora picha ya Shilole...
10 years ago
Bongo525 May
Video: Shilole apiga magoti live kwenye TV na kuwaomba msamaha Watanzania
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4Mmbye4vHZ4/VdObIMEyrnI/AAAAAAAHyDM/8lH6XEtkIig/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
OMMY DIMPOZ & SHILOLE LIVE IN HOUSTON TEXAS -LABOR DAY WEEKEND - JUMAMOSI SEPT 5
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Mmbye4vHZ4/VdObIMEyrnI/AAAAAAAHyDM/8lH6XEtkIig/s640/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Washington DC habari ya mujini ni Shilole na Ommy Dimpoz Live Jumapili hii Sept 6 sikukuu ya Labor Day
![](http://4.bp.blogspot.com/-wkCfZFGKebY/Vd6pkKXss-I/AAAAAAAATaQ/Jbgjf80AlqI/s640/OMMY%2BSHISHI%2BOC%2B3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcQC0Z7ojHaPdVlpPGbFfl5xXvfKrMumU7dt0z1RYinBiBX4AYozwOCp5*JgVt8nYP8klBzc4hgVIBU741yeIZD/TAMASHALAMATUMAINIA3copy.jpg?width=750)
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)