Video: Shilole apiga magoti live kwenye TV na kuwaomba msamaha Watanzania
Baada ya muimbaji na muigizaji Shilole kurejea nchini weekend iliyopita akitokea Ubelgiji alikoenda kufanya show pamoja na kushoot video ya wimbo wake ‘Malele’, alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV May 22. Ili kuwadhihirishia Watanzania kuwa ameumizwa na kile kilichotokea hivi karibuni kwenye show yake ya Ubelgiji (Ingia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram
![Ray new](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Ray-new-300x194.jpg)
Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.
Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.
“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.
Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...
10 years ago
Bongo530 Sep
Video: Irene Uwoya na Rich wapigana denda live kwenye set ya movie mpya
11 years ago
Habarileo21 May
Bunge lashauri msamaha wa kodi kwenye sukari kufutwa
SERIKALI imeshauriwa kufuta misamaha ya kodi katika sukari inayoagizwa kuziba pengo, na pia isiendelee kupandisha ushuru katika bidhaa za sigara, bia, mvinyo, vinywaji vikali na baridi.
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/WV0F5mhfoGY/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
SHILOLE LIVE CHUMBANI
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Shilole Ampigisha Dj Tass ‘Sorry For That’ Mia Kidogo, Mitusi Live !
MWIGIZAJI na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemzingua Dj Tass mtangazaji wa kipindi cha Kwetu Fleva baada ya kushusha matusi hewani akihojiwa na mtangazaji huyo na kumfanya aombe msamaha kwa wasikilizaji kwa kutamka Sorry for That mara mia.
Tass alikatiza matangazo baada ya Shilole kuulizwa swali kuhusu mpenzi wake Shilole ambaye ametangaza kutengena naye hivi karibuni Mziwanda ambaye alitamba naye kwa muda mrefu na hata msanii huyu wa kiume kujichora picha ya Shilole...