Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lashauri msamaha wa kodi kwenye sukari kufutwa

SERIKALI imeshauriwa kufuta misamaha ya kodi katika sukari inayoagizwa kuziba pengo, na pia isiendelee kupandisha ushuru katika bidhaa za sigara, bia, mvinyo, vinywaji vikali na baridi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kufutwa kodi ya simu, Bunge aibu tupu

>Hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutia saini hati ya dharura ili Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 ufanyiwe marekebisho na kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu imeliacha Bunge katika fadhaa na fedheha kubwa.

 

10 years ago

Habarileo

TAWNET wataka uchunguzi wakwepa kodi kwenye sukari kuharakishwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) kimeitaka Serikali kuharakisha uchunguzi dhidi ya wafanyabiashara wanaoingiza sukari kimagendo na kukwepa kodi.

 

9 years ago

Mwananchi

Bakwata yataka ufafanuzi msamaha wa kodi

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) pamoja na taasisi zake limeiomba Serikali kutoa ufafanuzi masuala ya misamaha ya kodi kwa taasisi za dini ili kuondoa changamoto zinazoweza kusababisha upendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa masharti matano kwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), yanayotakiwa kutekelezwa kabla kupewa msamaha wa kodi kwa gari aina ya Iveco ulioombwa.     

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPC chaomba msamaha wa kodi vifaa vya umwagiliaji

KIWANDA cha sukari (TPC) kilichopo wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, kimeiomba msamaha wa kodi katika uingizaji wa vifaa vya umwagiliaji ili waweze kuvinufaisha baadhi ya vijiji vinavyozunguka kiwanda hicho. Akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.

Na Bashir YakubSheria  ya  Uwekezaji  ya  Mwaka  1977 imehamasisha  uwekezaji  kwa  wazawa  na  wasio  wazawa  kwa  kuweka  mazingira  rafiki  kwa  wajasiriamali katika  nyanja  zote.  Wapo  ambao  wanajua fursa hizi  na wamezitumia   kujipatia  maendeleo  na  wapo  ambao  hawajatumia  fursa  hizi.  Nataka  niseme  kitu  kimoja  kuwa  wazawa  wengi  wameshindwa  kufanikiwa  kwa  kutojua  uwepo wa fursa. Wengi  wangependa  kutumia  fursa   kama  zipo  lakini  hawajui ziko  wapi na ...

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne.Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Lupembe, Mhe. Joram Ismael Hongoli, aliyetaka kujua sababu za Serikali kutoweka utaratibu wa kutowatoza kodi wastaafu ambao biashara zao hazizidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba ni Sukari, Shubiri

Hatimaye safari ya siku 125 za Bunge maalumu la Katiba imefikia tamati, baada ya Bunge hilo kumkabidhi Rais Jakaya Kikwete Katiba inayopendekezwa, kama sehemu ya hatua ya kuipeleka kwa wananchi kwa ajili ya kura ya maoni.

 

11 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani