TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa masharti matano kwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), yanayotakiwa kutekelezwa kabla kupewa msamaha wa kodi kwa gari aina ya Iveco ulioombwa. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Bakwata yataka ufafanuzi msamaha wa kodi
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...
9 years ago
Mtanzania01 Dec
TRA yaibana mbavu UDA
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
AGIZO la Rais Dk. John Magufuli kuwabana wafanyabiashara wanaokwepa kodi nchini, limeanza kuwa mwiba baada ya mabasi ya Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), kukamatwa kutokana na kukwepa kodi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, alisema mabasi tisa ya UDA yalikamatwa kutokana na kukiuka sheria za mlipakodi.
Mbali na UDA, Kayombo...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
TRA yatua Bakwata
*Wadaiwa kuingiza magari 82 kwa misamaha ya kodi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RUNGU la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limeonekana kushika kasi na safari hii limeangukia kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Kwa mujibu wa barua ya TRA, Bakwata imetakiwa kutoa maelezo ya ongezeko la maombi ya msamaha wa kodi katika utoaji wa magari yanayopitishwa katika taasisi hiyo ya dini, kutoka nje ya nchi.
Hayo yamo katika barua ya TRA ya Novemba 19, mwaka huu kwenda kwa Katibu Mkuu wa...
11 years ago
Habarileo21 May
Bunge lashauri msamaha wa kodi kwenye sukari kufutwa
SERIKALI imeshauriwa kufuta misamaha ya kodi katika sukari inayoagizwa kuziba pengo, na pia isiendelee kupandisha ushuru katika bidhaa za sigara, bia, mvinyo, vinywaji vikali na baridi.
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
TPC chaomba msamaha wa kodi vifaa vya umwagiliaji
KIWANDA cha sukari (TPC) kilichopo wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, kimeiomba msamaha wa kodi katika uingizaji wa vifaa vya umwagiliaji ili waweze kuvinufaisha baadhi ya vijiji vinavyozunguka kiwanda hicho. Akizungumza na...
10 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi