TRA yaibana mbavu UDA
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
AGIZO la Rais Dk. John Magufuli kuwabana wafanyabiashara wanaokwepa kodi nchini, limeanza kuwa mwiba baada ya mabasi ya Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), kukamatwa kutokana na kukwepa kodi.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, alisema mabasi tisa ya UDA yalikamatwa kutokana na kukiuka sheria za mlipakodi.
Mbali na UDA, Kayombo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Dec
TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Cecafa yaibana ZFA
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Brazil yaibana Croatia 3-1
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Chelsea yaibana Swansea 1-0
10 years ago
Habarileo29 Oct
PAC yaibana BOT
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupeleka hatua zote za mkataba wa ubinafsishwaji wa benki ya NBC ili kufahamu ukweli wa mhusika aliyesababisha hasara kwa benki hiyo.
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Manchester City yaibana Liverpool 3-1
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Olympiacos yaibana Machester United
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
CHADEMA yaibana ACT Kigoma
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani hapa, kimetoa siku 14 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno kuhakikisha anatoa amri ya kushushwa bendera ya Chama cha ACT katika...
10 years ago
Habarileo09 Jul
Serikali yaibana Bodi ya Chai
SERIKALI imeiagiza Bodi ya Chai kuhakikisha inafuatilia malalamiko ya wakulima wa zao hilo wilayani Korogwe haraka iwezekanavyo na kuyatafutia ufumbuzi.