Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaibana Bodi ya Chai

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiSERIKALI imeiagiza Bodi ya Chai kuhakikisha inafuatilia malalamiko ya wakulima wa zao hilo wilayani Korogwe haraka iwezekanavyo na kuyatafutia ufumbuzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI

Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI


Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...

 

11 years ago

GPL

BAJETI 2014/15 CHAI MAOFISI YA SERIKALI NO

Stori: mwandishi wetu, dodoma
KATIKA kubana matumizi kutokana na ufinyu wa fedha, hasa zinazotoka kwa wahisani na wafadhili mbalimbali, serikali imeondoa baadhi ya mambo yasiyo na umuhimu katika utoaji wa fedha kwa wizara, ikiwemo unywaji wa chai maofisini. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alisema bajeti ya mwaka huu ni kiasi cha trilioni 19.6 na kwamba kutokana na miradi mbalimbali ya maendeleo kukwama kutokana na kutopatikana...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE MIKONONI MWA WANANCHI.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano ulioandaliwa rasmi kuwaambia wananchi wa Mponde, Halmashauri ya Wilaya ya Bumburi, Lushoto mkoani Tanga, kuwa Rais Jakaya Kikwete amekubali kukirudisha Kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi baada ya mgogoro dhidi mwekezaji wa kiwanda hicho, Yusufu Mula uliodumu kwa takribani miaka 10 na kusababisha kiwanda hicho kufungwa maiaka miwili iliyopita na kuwaacha wananchi kwenye lindi kubwa la umasikini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodi Serikali za Mitaa kuanzisha benki

BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa nchini inatarajia kuanzisha Benki ya Maendeleo, ili kuweza kukopesha halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuchochea shughuli za maendeleo....

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yabeba deni la Bodi ya Utalii

maghembeNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, imejitwisha mzigo wa deni la Sh bilioni 4 ambalo Bodi ya Utalii inadaiwa.

Deni hilo ni  ambalo linahusu matangazo yanayoanzia mwaka 2013/ 2014 ambalo lilikuwa likihusu matangazo yote ya utalii yaliyokuwa yakifanyika ndani na nje ya nchi katika viwanja mbalimbali vya soka vya Ulaya.

Akizungumza na viongozi wa bodi hiyo, jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghebe alisema wizara...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu

SERIKALI imeamua kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu Tanzania katika mwaka ujao wa fedha, itakayosimamia masuala ya walimu, ikiwemo usajili, uendelezaji wa walimu na maadili ya kazi ya ualimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaiongeza Bodi ya Mikopo Sh132 bilioni

Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya Serikali kuongeza fedha kiasi cha Sh132 bilioni, kwa ajili ya kugharamia masomo yao kwa mwaka wa masomo wa 2015/16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani