Serikali yabeba deni la Bodi ya Utalii
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, imejitwisha mzigo wa deni la Sh bilioni 4 ambalo Bodi ya Utalii inadaiwa.
Deni hilo ni ambalo linahusu matangazo yanayoanzia mwaka 2013/ 2014 ambalo lilikuwa likihusu matangazo yote ya utalii yaliyokuwa yakifanyika ndani na nje ya nchi katika viwanja mbalimbali vya soka vya Ulaya.
Akizungumza na viongozi wa bodi hiyo, jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghebe alisema wizara...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-61MO7nU5qJU/XqmGdPqCqfI/AAAAAAALolE/eUzIXHoSAVAOvNS1YdghCfL94MdBi_N1wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-50-2048x1536.jpg)
BODI YA UTALII YATAJA MIKAKATI ENDELEVU 10 KUINUA UTALII KATIKA MLIPUKO WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-61MO7nU5qJU/XqmGdPqCqfI/AAAAAAALolE/eUzIXHoSAVAOvNS1YdghCfL94MdBi_N1wCLcBGAsYHQ/s640/1-50-2048x1536.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2B-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/3-22-scaled.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/110.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
Habarileo24 Jan
Serikali yabeba madeni ya ATCL
SERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika hilo kuanza biashara.
10 years ago
Habarileo28 May
Serikali yabeba madeni ya TTCL ya mabilioni
SERIKALI imebeba madeni ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ya mabilioni ya fedha na kuiruhusu kukopa hadi Sh bilioni 96.4 kutoka katika taasisi za fedha.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z1ChDE7q0Ng/XsUsYFKuNrI/AAAAAAALq-g/1eItV6A-l3YYDFupJ_UQVlAF7unWowv0wCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-4-768x468.jpg)
BODI YA UTALII TANZANIA: TUPO TAYARI KUANZA KUPOKEA WATALII
![](https://1.bp.blogspot.com/-z1ChDE7q0Ng/XsUsYFKuNrI/AAAAAAALq-g/1eItV6A-l3YYDFupJ_UQVlAF7unWowv0wCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-4-768x468.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-3-3-1024x643.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akifafanua jambo katika Mkutano wake na waandishi wa habari hawapo pichani Jijini Dar es Salaam, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za utalii nchini.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-4-3-1024x756.jpg)
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Banda la Bodi ya Utalii Afrika Kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo (SiTE)
Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar Es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kanda ya...