TRA yatua Bakwata
*Wadaiwa kuingiza magari 82 kwa misamaha ya kodi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RUNGU la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limeonekana kushika kasi na safari hii limeangukia kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Kwa mujibu wa barua ya TRA, Bakwata imetakiwa kutoa maelezo ya ongezeko la maombi ya msamaha wa kodi katika utoaji wa magari yanayopitishwa katika taasisi hiyo ya dini, kutoka nje ya nchi.
Hayo yamo katika barua ya TRA ya Novemba 19, mwaka huu kwenda kwa Katibu Mkuu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...
9 years ago
Mwananchi07 Dec
TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi
10 years ago
Mtanzania08 Jan
TRA yatua kwa Chenge, Tibaijuka
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetua kwa vigogo waliopata mgawo wa fedha za Escrow na kuwataka kulipa kodi ya mapato kwa mujibu wa sheria.
Maofisa wa mamlaka hiyo walikwenda kwa vigogo hao na kuwasilisha mahesabu ya kodi walizochukua Januari Mosi mwaka huu ambapo kila aliyepata mgawo huo ametakiwa kulipa fedha hizo kabla ya Januari 30.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema msimamo wa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65SKh-uTMMzRHiUUPFwoYS52jMwDhWkZsh8nsyeZrTTRHAysxzn0NLGADZFFt9nVhyzWUksL2d3w6RRQ60ZDlfb/Bakwata.gif?width=650)
MAUAJI YA KUTISHA BAKWATA
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
BAKWATA yachunguza ubadhirifu
KATIBU wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma, Hussein Kuzungu, amesema baraza hilo linafanyia uchunguzi tuhuma za ubadhirifu wa fedha kati ya sh milioni 30 na 40 zinazodaiwa...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Bakwata yakemea mapinduzi misikitini
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limekemea vitendo vya baadhi ya waumini wa dini hiyo kuvamia na kupora misikitini na kusababisha uvunjifu wa amani.
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Bakwata imeneemeka na uwekezaji — Msopa
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema limepata neema kubwa kutokana na uwekezaji unaoendelea katika makao makuu ya baraza hilo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam. Uwekezaji huo unahusisha ujenzi wa...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Bakwata: Mahujaji wapo salama
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Baraza la Bakwata kumchagua mufti mpya