Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge laridhia Serikali kufuta deni

Bunge limeridhia azimio la kufuta na kusamehe madai au hasara itokanayo na upotevu wa fedha na vifaa vya Serikali vya zaidi ya Sh10 bilioni za kipindi kilichoishia Juni 30, 2011.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge laridhia Azimio la SADC

Mwigulu NchembaWATANZANIA wengi wataweza kufanya biashara na kuwekeza katika nchi za Kusini mwa Afrika kuanzia sasa.

 

11 years ago

Michuzi

bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena

Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.

Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita, hata hivyo ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana.

Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kufuta misamaha ya VAT

Serikali itawasilisha bungeni rasimu ya maboresho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo itafuta misamaha ya kodi hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kufuta sheria kandamizi

TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali kufuta ada sekondari



 Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini  
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu  Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa  sehemu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yashauriwa kufuta Jiji la Mwanza

KAMATI ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeishauri Serikali kuifuta Halmashauri ya Jiji la Mwanza baada ya kubaini upotevu wa zaidi ya Sh bilioni 40. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Rajab Mohammed Mbarouk alishauri hayo jana wakati wa kikao cha kupitia taarifa ya CAG ambapo alisema ubadhirifu huo ni wa kati ya mwaka 2010 hadi 2013.

 

11 years ago

Habarileo

'Bunge Maalum mna deni kwa Watanzania'

WABUNGE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuona wana deni kwa Watanzania la kuwapatia katiba nzuri ambayo italeta ustawi kwa miaka mingi ijayo. Hayo yalisemwa jana na Dora Mpilimbi ambaye ni balozi kiongozi katika kitongoji cha Chinangali mtaa wa Nala kata ya Nala wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari hizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yatishia kufuta leseni za wachimba madini

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini inakusudia kufuta leseni 10 za uchimbaji wa madini katika Mkoa wa Geita kutokana na wamiliki wake kushindwa kutekeleza taratibu na sheria za leseni za uchimbaji kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kufuta usajili asasi za kijamii

Wizara ya Mambo ya Ndani imetishia kuvifutia usajili vyama vyote vya kijamii vinavyokiuka kanuni na sheria kuanzia Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani