Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajipanga kufuta usajili asasi za kijamii

Wizara ya Mambo ya Ndani imetishia kuvifutia usajili vyama vyote vya kijamii vinavyokiuka kanuni na sheria kuanzia Oktoba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TRA kufuta usajili wa vyombo vya moto

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wamiliki wa vyombo vya moto visivyotumika kufuta usajili wake ili kuiwezesha Serikali kuwa na kumbukumbu sahihi ya vyombo vya moto vinavyofanya kazi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na maelfu ya Waumini wa Karismatiki Katoliki, Jimbo la Dar es Salaam katika maombi maalumu kwa ajili ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Kituo cha Karismatiki, Ubungo jijini Dar es Salaam. Waziri Chikawe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maombi hayo aliyataka Makanisa nchini kudumisha amani na utulivu na kuendelea kuliombea Taifa na kuepuka kuingia katika migogoro mbalimbali ambayo itasababisha taifa kuingia katika uvunjifu amani...

 

9 years ago

Dewji Blog

#HapaKaziTu! Wizara ya Mambo ya Ndani yavifuta usajili wa vyama vya kijamii 1,268

Pix-059

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga.(Picha na Maktaba).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufuta usajili wa vyama 1,208 vya kijamii kati ya vyama 12,665 ambavyo vimesajiliwa katika daftari la msajili wa vyama katika Wizara hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga amesema sababu ya kuvifuta vyama hivyo ni kushindwa kufata masharti ya usajili, kushindwa kulipa ada za mwaka na kuwasilisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kufuta misamaha ya VAT

Serikali itawasilisha bungeni rasimu ya maboresho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo itafuta misamaha ya kodi hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kufuta sheria kandamizi

TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali kufuta ada sekondari



 Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini  
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu  Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa  sehemu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yataja asasi 24 zitakazofutwa

Dar es Salaam. Serikali imeanza kutimiza ahadi yake ya kuyafuta mashirika na asasi zisizo za kiserikali, NGO, yakiwamo ya kidini na kwa kuanzia imetangaza kusudio la kuzifuta asasi 24 katika kipindi cha siku saba kuanzia jana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani