Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kufuta ada sekondari



 Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini  
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu  Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa  sehemu ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

JK:Tunafikiria kufuta ada sekondari

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa Serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari, kama namna ya kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza...

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Tunafikiria kufuta ada sekondari

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kufuta ada sekondari ni sawa na kuwapa keki wanaohitaji mkate

RAIS Jakaya Kikwete ametangaza kuwa Serikali inafikiria kufuta ada za shule za sekondari ngazi ya chini (O-level) na kuna baadhi ya watu wameshangilia sana. Sijui wanashangilia nini kwa sababu kilichotangazwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kufuta ada shule za kata

KAIMU Ofisa wa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Pwani, Dismas Chuwalo, ameishauri serikali kufuta ada ya shule za sekondari za Kata ili wahitimu wote wanaochaguliwa waweze kujiunga na shule hizo....

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete afuta ada sekondari

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Sera ya Elimu ya Taifa Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik.(Picha na Mroki Mroki).HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Ada sekondari sasa kufutwa

Rais Jakaya KikweteSERIKALI inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure.

 

10 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya Shule ya Sekondari Shemsanga baada kupandisha ada

“Siku Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo alipofanya ziara katika shule yetu na kuamuru tupandishe ada, wengi hatukumwelewa, tulidhani ndiyo mwisho wa shule yetu.”

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kufuta sheria kandamizi

TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani