Ada sekondari sasa kufutwa
SERIKALI inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Sep
Wazazi waomba ada ya 3,000/- kufutwa
WAZAZI Pemba wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuta ada ya Sh 3,000 ya kila mwaka kwa wanafunzi zaidi wale wanaoishi katika mazingira magumu kwani ndiyo chanzo cha wanafunzi kujiunga katika ajira ngumu na kuacha shule.
11 years ago
Uhuru Newspaper
Serikali kufuta ada sekondari
Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa sehemu ya...
11 years ago
Mwananchi27 Aug
JK: Tunafikiria kufuta ada sekondari
11 years ago
Tanzania Daima28 Aug
JK:Tunafikiria kufuta ada sekondari
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa Serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari, kama namna ya kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza...
10 years ago
Habarileo14 Feb
Kikwete afuta ada sekondari
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Mafanikio ya Shule ya Sekondari Shemsanga baada kupandisha ada
11 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Kufuta ada sekondari ni sawa na kuwapa keki wanaohitaji mkate
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza kuwa Serikali inafikiria kufuta ada za shule za sekondari ngazi ya chini (O-level) na kuna baadhi ya watu wameshangilia sana. Sijui wanashangilia nini kwa sababu kilichotangazwa...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Ukawa sasa hatarini kufutwa
11 years ago
Uhuru NewspaperAda elekezi sasa kupangwa vyuoni
SERIKALI imeanza kufanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga ada elekezi kwa programu zote zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa...