Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafanikio ya Shule ya Sekondari Shemsanga baada kupandisha ada

“Siku Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo alipofanya ziara katika shule yetu na kuamuru tupandishe ada, wengi hatukumwelewa, tulidhani ndiyo mwisho wa shule yetu.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

Prof-MchomeNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

SERIKALI imepiga marufuku wamiliki wa shule binafsi kupandisha ada kuanzia Januari mwakani.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kutoa tamko la kufuta ada na michango mbalimbali kwa shule zake za msingi na sekondari.

Taarifa ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, profesa Sifuni Mchome, imepiga marufuku shule hizo kuongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia  Januari 2016 hadi hapo...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

9 years ago

Habarileo

Maombi ya kupandisha ada yatinga wizarani

SHULE nyingi za msingi na sekondari zisizo za Serikali, zimetuma maombi kwa Kamishna Mkuu wa Elimu nchini kuomba kibali cha kupandisha ada katika mwaka ujao wa masomo.

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Tunafikiria kufuta ada sekondari

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete afuta ada sekondari

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Sera ya Elimu ya Taifa Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik.(Picha na Mroki Mroki).HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Ada sekondari sasa kufutwa

Rais Jakaya KikweteSERIKALI inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK:Tunafikiria kufuta ada sekondari

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa Serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari, kama namna ya kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali kufuta ada sekondari



 Lengo kuwa na elimu bure hadi kidato cha nne JK asema ni mkakati wa kuboresha elimu nchini  
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuboresha Sera ya Elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne.
Rais Kikwete alikuwa akizungumza jana na wanajumuia ya Chuo Kikuu  Mzumbe, Morogoro na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho ikiwa  sehemu ya...

 

5 years ago

Michuzi

PRAMPRAM PALLBEARERS KUPANDISHA BEI BAADA YA CORONA KUISHA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MITANDAO mingi  ya kijamii ikiwemo Facebook, WhatsApp na TikTok, inaongelea video zao, ni kundi linalofanya shughuli za mazishi kutoka nchini Ghana linalojulikana kama Prampram Pallbearers  ambalo kwa sasa limekua maarufu zaidi ulimwenguni kote.
Video la kundi hilo zinawaonesha wanaume watano waliovalia nguo nyeusi, miwani nyeusi wakiwa wamebeba jeneza wakisindikizwa na kibao cha "Astronomia" wimbo ulioimbwa na Tony Igy.
 Mwanzilishi wa kundi hilo Benjamin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani