Maombi ya kupandisha ada yatinga wizarani
SHULE nyingi za msingi na sekondari zisizo za Serikali, zimetuma maombi kwa Kamishna Mkuu wa Elimu nchini kuomba kibali cha kupandisha ada katika mwaka ujao wa masomo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SERIKALI imepiga marufuku wamiliki wa shule binafsi kupandisha ada kuanzia Januari mwakani.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kutoa tamko la kufuta ada na michango mbalimbali kwa shule zake za msingi na sekondari.
Taarifa ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, profesa Sifuni Mchome, imepiga marufuku shule hizo kuongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari 2016 hadi hapo...
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Mafanikio ya Shule ya Sekondari Shemsanga baada kupandisha ada
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Umeme kupandisha gharama
11 years ago
Mwananchi29 May
Membe aikaribisha Takukuru wizarani
10 years ago
Habarileo15 May
Membe aaga wizarani kwake
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi katika wizara hiyo na kujivunia kuweza kuwarudisha nchini maofisa na mabalozi wote waliostaafu nje ya nchi huku akiahidi kujaza nafasi za walioshika nafasi hizo kabla hajaondoka katika wizara hiyo.
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Sep
Arusha kupandisha kiwango cha ufaulu
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha kupitia mpango wa matokeo makubwa (BRN), inatarajia kupandisha kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 92 kwa elimu ya msingi.
Takwimu zinaonyesha katika matokeo ya mwaka jana, ufaulu ulikuwa asilimia 85.
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa ElimuTaaluma wa Shule za Msingi katika halmashauri ya Jiji hilo, Mbwana Juma, alipokuwa akizungumza wakati wa mafunzo ya mbinu za kufundisha masomo ya hisabati na sayansi.
Alisema kupitia BRN...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Mama Kikwete atoa mbinu kupandisha ufaulu
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) kupitia Wilaya ya Lindi Mjini, amewataka wazazi na walimu kushirikiana ili kuhakikisha...
11 years ago
Habarileo15 Feb
Marufuku kupandisha bei ya ‘gesti’ Bunge maalumu
MWENYEKITI wa chama cha wamiliki wa nyumba za kulala wageni mkoani Dodoma, Chavala Taratibu amesema hakuna mfanyabiashara wa nyumba hizo atakayeruhusiwa kupandisha bei wakati wa Bunge la Maalumu la Katiba litakapoanza mapema wiki ijayo.
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Balozi Mulamula akutana na Wageni mbalimbali Wizarani