Membe aikaribisha Takukuru wizarani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ataipa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jukumu la kuchunguza ufisadi wa mamilioni ya fedha katika ununuzi wa tiketi za safari za nje za wizara yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 May
Membe aaga wizarani kwake
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameaga rasmi katika wizara hiyo na kujivunia kuweza kuwarudisha nchini maofisa na mabalozi wote waliostaafu nje ya nchi huku akiahidi kujaza nafasi za walioshika nafasi hizo kabla hajaondoka katika wizara hiyo.
9 years ago
Habarileo23 Dec
Maombi ya kupandisha ada yatinga wizarani
SHULE nyingi za msingi na sekondari zisizo za Serikali, zimetuma maombi kwa Kamishna Mkuu wa Elimu nchini kuomba kibali cha kupandisha ada katika mwaka ujao wa masomo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MhkDFTHAbUc/Xl_vYwo518I/AAAAAAALhEA/9ueok7wdY_kmyPQN2IYg24qxG3gmmGYEgCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_2594AA-768x482.jpg)
MENEJA WA TANROAD MORO AREJESHWE WIZARANI-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-MhkDFTHAbUc/Xl_vYwo518I/AAAAAAALhEA/9ueok7wdY_kmyPQN2IYg24qxG3gmmGYEgCLcBGAsYHQ/s640/PMO_2594AA-768x482.jpg)
====== ======== ============
*Ni baada ya kushindwa kukagua madaraja kwenye...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Balozi Mulamula akutana na Wageni mbalimbali Wizarani
11 years ago
Michuzi09 Jul
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wapata semina Wizarani
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Waziri Kamani sasa ataka uwajibikaji, uwazi wizarani
5 years ago
MichuziPROF. KABUDI ATEMBELEA IDARA NA VITENGO WIZARANI AZUNGUMZA NA WATUMISHI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (wa kwanza kulia) akizungumza na watumishi wa Idara ya Ulaya na Amerika wakati alipowatembelea na kujadililiana nao masuala mbalimbali ya utendaji kazi wa Idara hiyo kwenye ofisi za Wizara zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma, tarehe 31 Machi 2020
Mhe. Waziri Prof. Kabudi akimsikiliza mmoja wa watumishi wa Idara ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakitoa ufafanuzi kuhusiana na...
9 years ago
Global Publishers15 Dec
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ys50hXML_GI/Xl_X8b5ccGI/AAAAAAAC0EU/-fN4ZaqyUiEP7ivjpbxOE7TQx89cYCqgACLcBGAsYHQ/s72-c/c07372c0-a466-4a8b-a195-1485db8591db-768x576.jpg)
WAZIRI MKUU AAGIZA MENEJA WA TANROAD MOROGORO AREJESHWE WIZARANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ys50hXML_GI/Xl_X8b5ccGI/AAAAAAAC0EU/-fN4ZaqyUiEP7ivjpbxOE7TQx89cYCqgACLcBGAsYHQ/s640/c07372c0-a466-4a8b-a195-1485db8591db-768x576.jpg)
Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usala wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegea lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na...