Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wapata semina Wizarani
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akitoa mada kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na Uhusiano kati ya nchi na nchi hususan uhusiano wa nchi za Asia na Tanzania katika semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia (CFR) wanaofanya mafunzo kwa vitendo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Balozi Mbelwa (hayupo pichani)
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akifuatilia semina hiyo
Semina ikiendelea
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m8jqrV300f0/VoOnPQvxSfI/AAAAAAAIPTw/PWCBqZ8_1ak/s72-c/001.jpg)
WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-m8jqrV300f0/VoOnPQvxSfI/AAAAAAAIPTw/PWCBqZ8_1ak/s640/001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9qGutUG9JVw/VoOnSMuWAfI/AAAAAAAIPT8/qMI2-9wi-ZU/s640/002.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dgEdmVwDfl0/U4Hi5i352QI/AAAAAAAFk6I/qXDFtw5sHxQ/s72-c/unnamed+(19).jpg)
uchaguzi wa viongozi wa tawi jipya la CCM chuo cha kimataifa cha Diplomasia Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-dgEdmVwDfl0/U4Hi5i352QI/AAAAAAAFk6I/qXDFtw5sHxQ/s1600/unnamed+(19).jpg)
10 years ago
MichuziCHUO CHA DIPLOMASIA CHAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA
5 years ago
MichuziSerikali yaagiza Chuo cha Diplomasia kuongeza tafiti, machapisho
SERIKALI imekiagiza Chuocha Diplomasia kujikita kuongeza tafiti pamoja na machapisho mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wahitimu wa chuo hicho kutoa mchango wao katika Taifa hususani wakati huu wa utekelezaji wa sera ya Diplomasia ya Uchumi.
Maagizo hayo yametolewaleo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano waAfrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) wakati alipotembelea chuo hicho kuongea na wahadhiri, wafanyakazi pamoja na wanafunzi.
Dkt. Ndumbaro amesema...
Maagizo hayo yametolewaleo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano waAfrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) wakati alipotembelea chuo hicho kuongea na wahadhiri, wafanyakazi pamoja na wanafunzi.
Dkt. Ndumbaro amesema...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4flwAZF4dAU/U_5VIQ9Gq7I/AAAAAAAGE-A/hKr2EcHJLfo/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
CHUO CHA DIPLOMASIA CHAWANOA MAAFISA KUTOKA JESHI, SERIKALINI NA SEKTA BINAFSI
Katika kuendeleza wajibu wake wa kutoa mafunzo ya muda mfupi, Chuo cha Diplomasia kimeendesha mafunzo ya juma moja ya Itifaki na Uhusiano ‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ kati ya tarehe 18 – 22 August, 2014. Mafunzo haya yalilenga kuwaongezea uwezo maafisa mbali mbali kutoka serekalini na sekta binafsi. Mafunzo haya ni muendelezo wa mafunzo ya muda mfupi yatolewayo na Chuo cha Diplomasia kila mwezi,
katika mafunzo hayo ambayo Kwa kawaida wawezeshaji wa mafunzo hayo ya muda mfupi katika Chuo...
katika mafunzo hayo ambayo Kwa kawaida wawezeshaji wa mafunzo hayo ya muda mfupi katika Chuo...
10 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
10 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OD2SJNpnvS8/U9Vucbp1zHI/AAAAAAAF7Ho/AWiRZwIWYKw/s72-c/unnamed+(3).jpg)
‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ SHORTCOURSE: CHUO CHA DIPLOMASIA CHAWANOA MAAFISA KUTOKA SERIKALINI NA SEKTA BINAFSI
Katika kuendeleza wajibu wake wa kutoa mafunzo ya muda mfupi, Chuo cha Diplomasia kimeendesha mafunzo ya juma moja ya Itifaki na Uhusiano ‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ Mafunzo haya yalilenga kuwaongezea uwezo maafisa mbali mbali kutoka serekalini na sekta binafsi. Mafunzo haya ni muendelezo wa mafunzo ya muda mfupi yatolewayo na Chuo cha Diplomasia, mathalan usuluhishi na utatuzi wa migogoro (Conflict Resolution and Mediation skills) na Itifaki na Uhusiano ( Protocol and Public...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania