Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kamani sasa ataka uwajibikaji, uwazi wizarani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa nguvu zote katika kufanya kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUMO MPYA WA UONDOSHJI MIZIGO(TANCIS)KUONGEZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo mpya wa undoshaji Mizigo (TANCIS) kuongeza uwazi na uwajibikaji

1

Kamishna wa Forodha na Ushuru kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Masamaki Kabisi akiwaeleza waandishi wa Habari juu ya faida za Mfumo mpya wa Uondoshaji Mizigo bandarini(TANCIS) ikiwa unasaidia katika kufanya makadirio ya kodi sahihi kulingana na taarifa sahihi zilizoletwa kwa kutumia mfumo huo, pia utasaidia wateja kujua sehemu mizigo yao ilipo na pia wanapaswa kulipa kiasi gani kulingana na mzigo wa mteja, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.

2

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ( picha ya Maktaba) ametoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Ofisi zake kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikani kama yanavyozishikiza Nchi Wanachama, kwa kile alichosema, utekelezaji wa dhana hiyo haupashwi kuwa jukumu la Serikali peke yake. Ametoa wito huo wakati wa majadiliano ya Ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu iliyowasilishwa siku ya jumatatu mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wawasili rasmi Wizarani baada ya kuapishwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha  Wizarani kwa mara ya kwanza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga mara alipowasili Wizarani baada ya kuapishwa Ikulu tarehe 12 Desemba, 2015. Aliyesimama pembeni ni Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bibi Joyce Mapunjo.Mhe. Balozi Mahiga akikaribishwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Kamani ataka majibu kukuza kipato

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amesema sura ya wizara hiyo katika jamii si nzuri kwa kuwa haijatoa jawabu ya changamoto zinazowakabili wadau wakiwemo wafugaji na wavuvi na kukuza pato la Taifa kama inavyostahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu ataka uwazi mahakamani

Jaji Mkuu Chande Othman ametaka mahakama ziruhusu waandishi wa habari kupata taarifa za yanayoendelea mahakamani ili kupata taarifa sahihi.

 

11 years ago

GPL

UWAJIBIKAJI: WAZIRI WA UHAMIAJI UINGEREZA AJIUZULU

Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper. WAZIRI wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper, amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa amemuajiri mfanyakazi asiyekuwa na kibali cha kufanya kazi Uingereza. Harper ameeleza kuwa alidanganywa na mwanamke mmoja aliyemuonesha nyaraka za bandia, alipomuajiri mwaka 2007 kusafisha nyumba yake. Bwana Harper ambaye amekuwa Waziri wa Uhamiaji tangu mwaka 2012, alisema kwa sababu alichangia...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais wa Namibia ataka uwazi katika chaguzi za Afrika

Rais wa Namibia Dkt Hage Geingob amesema nchi za Afrika zinapaswa kuweka mazingira ya uwazi katika chaguzi zake ili kuondoa manung’uniko baina ya wanasiasa na vyama vitakavyoshindwa.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AAGIZA MENEJA WA TANROAD MOROGORO AREJESHWE WIZARANI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.
Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usala wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegea lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani