Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu ataka uwazi mahakamani

Jaji Mkuu Chande Othman ametaka mahakama ziruhusu waandishi wa habari kupata taarifa za yanayoendelea mahakamani ili kupata taarifa sahihi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Rais wa Namibia ataka uwazi katika chaguzi za Afrika

Rais wa Namibia Dkt Hage Geingob amesema nchi za Afrika zinapaswa kuweka mazingira ya uwazi katika chaguzi zake ili kuondoa manung’uniko baina ya wanasiasa na vyama vitakavyoshindwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Kamani sasa ataka uwajibikaji, uwazi wizarani

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa nguvu zote katika kufanya kazi.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGNZI MKUU MSD,MKUU WW LOJISTIKI WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAKIKABILIWA NA KESI YA TUHUMA YA UHUJUMU UCHUMI

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari kuu ya Dawa (MSD) nchini,  Laurean Bwanakunu na Mkuu wa Lojistiki wa bohari hiyo Byekwaso Tabura wamefikishwa  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matano likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya Sh.Bilioni bilioni 3.8
Mashtaka mengine ni kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo  Juni 5, 2020, na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Werema ataka kumtwanga Kafulila

KASHFA ya ununuzi wa Kampuni ya IPTL na fedha za Escrow, jana nusura iharibu taswira ya Bunge baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutaka kumpiga Mbunge wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jaji ataka Justin Bieber akamatwe

Jaji mmoja nchini Argentina ametoa agizo la kukamatwa kwa mwanamuziki Justin Bieber

 

5 years ago

Michuzi

RIDHIWAN KIKWETE ATAKA KUHAKISHIWA USALAMA WA MIFUGO KABLA YA KUPELEKWA MAHAKAMANI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwan Kikwete ametaka ufafanuzi kuhusu usalama wa mifugo ambayo itakamatwa baada ya kuingia kwenye maeneo ya hifadhi kabla ya kesi kuanza Mahakamani.
Akizungumza leo Juni 10,2020,Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kuchangia muswada wa marekebisha ya sheria mbalimbali ambao umewasilishwa bungeni hapo na moja marekebisho hayo inahusu Wanyamapori na Uhifadhi.
"Kwanza naomba nianze kwa kukupongeza Naibu Spika Dk.Tulia Acksoni...

 

9 years ago

Mtanzania

Jaji Bomani ataka jopo kuijadili Z’bar

bomaniESTHER MNYIKA NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

JAJI mstaafu Mark Bomani, amesema ili kumaliza dosari zilizojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu kisiwani Zanzibar, njia pekee ni kuunda jopo litakaloweza kumaliza mgogoro uliopo.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Jaji Bomani alisema dosari zinazosemekana zilitokea wakati wa uchaguzi  zinatakiwa zibainike kwa kutumia jopo la wataalamu ambao wanaaminika na ikiwezekana liwe chini ya mmoja wa majaji wakuu wastaafu.

Alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi ataka sheria za uchaguzi kuzingatiwa

MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika majimbo ya Kalenga, mkoani Iringa na Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani kuzingatia kanuni na sheria zote za uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani